Recent content by Kappwipwi

  1. Kappwipwi

    Ushauri: Mume wa mtu niliyezaa naye watoto watatu amefariki na ameacha mali nyingi, nifanyaje kudai haki za wanangu pasipo Mume wangu kujua?

    Maisha uloyachagua ya gizani endelea na giza mpk kifo ukutane na wa gizani mwenzio[emoji83]
  2. Kappwipwi

    Chuo kubadili course mwaka wa pili bila taarifa

    Management co Planning Ujue ww Google Planning Google Management
  3. Kappwipwi

    Chuo kubadili course mwaka wa pili bila taarifa

    Uko vzuri broo Hii ishawahi kutokea kweli,? Ukiwauliza kwa nn wasianze na Fresheners wanasingizia Culculam reviewed after @5yrs, Haiingii akilin Wamewafire waalimu wa Project Planning bila sababu za msingi nw wanataka badili koz kwa nguvu
  4. Kappwipwi

    Mke wangu mtarajiwa hataki mtoto wake aliyempata kabla hatujakutana atumie ubini wangu

    Uko Nyumba ya Kupanga Jenga yako Aafu hii ni km wa Mpwapwa Jua ni wng
  5. Kappwipwi

    Chuo kubadili course mwaka wa pili bila taarifa

    La kwanza liliCompose na Planning La pili inaondoa Planning Na kwa nn ukatishe mmataba wang Me nmekuja soma Planning and Management Wewe unaniletea Management ppekee Mbona vyuo vingne havna huo utaratibu wakubadilisha Koz za watu,
  6. Kappwipwi

    Chuo kubadili course mwaka wa pili bila taarifa

    Soko gan wanalotaka wao wakat watu tuna masoko yetu
  7. Kappwipwi

    Chuo kubadili course mwaka wa pili bila taarifa

    Maswali ya mwisho hujayaelewa au
  8. Kappwipwi

    Chuo kubadili course mwaka wa pili bila taarifa

    Hujaelewa nn Malalamiko yamepelekwa Ila ubabe ndo watumika
  9. Kappwipwi

    Chuo kubadili course mwaka wa pili bila taarifa

    Somo hapo juu lahusika Naomba kujua kama kuna chuo kilishawahi kubadilisha Kozi Iliyodahili awali na mwaka wa pili wa masomo kuibadili wanafunzi wakiwa wanaendelea Hii imetokea Tengeru Institute of Community Development-Arusha (TICD) 2020/2021 Ilidahili wanafunzi wa Bachelor Degree in...
Back
Top Bottom