Wananchi waliandaa rasimu yao kupitia Warioba itakayo jibu mapungufu yote watiania wanayoorodhesha.
Je ? watia nia waliopinga rasimu ya Warioba watayaondaje hayo mapungufu bila rasimu ya wananchi?
Nani alijitoa kwenye serikali na kwenda kwenye media na kusema mimi najiuzulu nafasi yangu ndani ya serikali hii kwani siwezi kuwa sehemu yake kwa ufisad huu.
Aidha wa escrow au wowote ili sasa aje nasi tujue huyu si sehemu ya uchafu
Lowasa anaitwa fisadi ,mimi sikatai ila shida ni wale wanaomwita fisadi ,wao ni akina nani kama yeye ni fisadi.
Naomba mtu mmoja mwenye kumbukumbu nzuri aorodheshe matukio ya ufisadi ya kutisha baada ya Lowasa kujiuzulu na tuone ni nani hakuwa ndani ya serikali au bunge anaegombea uraisi.
Na...
Watu wengi waoga wasiojiamini wasio na mikakati wanaoishi mijini pesa yao ya mwanzoni hawathubutu kununua gari hukimbilia kujenga.
Wazo huonekana zuri kwa watu wengine wa aina yake
Ndoa ni chache sana duniani na wakati mwingine kuiona ndoa ni nadra sana, wengi wanaishi pamoja kama wazazi.
Kiuhalisia mmoja akishatoka nje ya ndoa hakuna ndoa tena .
Watu wengi waliotumia akili zao kwa umaarufu wao ili kutatua mambo ya ndoa waliangukia aibu. Watu wengi wenye kila kitu wana shida kwenye ndoa.
Na wengine wengi hata na baaadhi ya wasanii wa kibongo uzao kwao ni shida kwa sababu ni mambo ya rohoni
Ulimwengu wa roho ndio unaotawala ulimwengu wa mwili..
Hivyo mtu anaweza kuwa profesa na bado ndoa ikawa shida kwa kuwa utatuzi wake hawiitaji ushauri bali ni vita kiroho lazima urudi rohoni
Jiulize wakati wanawake wa kawaida wanaolewa kila siku .Wazuri wanagombania waume za watu na kunengua majukwaani na kuuza bar.
Wengi shetani amesha wawahi mapema tangu wakiwa watoto.
Wazuri wengi tayari wameshaolewa katika ulimwengu wa roho na majini.
Hivyo kuna kuwepo na vita ya kumgombania huyo mkeo kati yako na anaezini na mkeo kwenye ndoto.
Tena huyo wa ndotoni hufanya vizuri kuliko wewe.
Changmoto kubwa kwa stuff wa bank zetu ni makazi.
Bank zingewapa silimia 80 ya kodi ya pango kwa kiwango cha kodi cha mahali husika.
Ni maoni yangu kwa ninavyoona hawana hela na kwa kazi yao sio vizuri kuishi uswahilini
Huwezi kuwaona Manabii kwenye matamko ya pamoja labda awe siyo.
Nabii hawezi kaa na kikundi kwani mtakacho amua nyie kinaweza kuwa tofauti na anavyoona katika mapenzi ya Mungu kwenye jambo husika.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.