Recent content by KAPIRIPIRI

  1. K

    Uchaguzi BAVICHA: Kwanini namuunga mkono Daniel Naftal?

    Viva "TEAM WAFIA CHAMA", timu ya ushindi, wengine watawasoma namba
  2. K

    Uchaguzi BAVICHA: Kwanini namuunga mkono Daniel Naftal?

    Namuunga mkono BAN KIMOON 100% aona habari yake inaendana na utafiti wangu juu ya wengi waliotangaza nia. Wengi wa wagombea tunawajua uwezo na upungufu wao.Tofauti na WAPAMBE UCHWARA, BAN KIMOON ameeleza kwanini anamuunga mkono DAN, nyie wengine wenye wagombea wenu leteni hoja zenu kutushawishi...
  3. K

    VIJANA CHADEMA wamvaa RPC Kamuhanda kwa uongo, uzushi, wakumbusha mauaji ya Mwangosi

    CCM na wapambe wao watamaliza kuni kwa kuchemsha mawe....................................................
  4. K

    Sajili kampuni yako kwa haraka bila usumbufu

    Ndugu wadau, bei ni tofauti kulingana na mtaji wa kuanzia, kwani BRELA wanachaji kulingana na viwango vya mtaji wa kampuni husika.Kwa taarifa zaidi "on individual cases" tafadhali niPM.
  5. K

    Sajili kampuni yako kwa haraka bila usumbufu

    Ili kusajili kampuni yako ndani ya muda mfupi, bila usumbufu wasiliana na RMJ & CO.Ltd kupitia namba 0714784154 au 0753784154. Kwa wale ambao walishafika kwenye ofisi zetu za awali, sasa tumeamia Tabata Matumbi (Mandela Road), jengo ilipo benki ya Access, 2nd Floor. N.B: Kazi ya usajili wa...
  6. K

    Usajili wa kampuni

    Ndg. MKULIMA WA KAWAIDA Nakuomba kwanza upunguze jazba fanya tafiti kabla ya kutoa tuhuma ambazo ni senseless. Ungekuwa mtu makini ungefanya utafiti. Kazi hii sio tumeianza jana, ungekuwa mmoja wa wale ambao wamepata huduma zetu then ukaja na tuhuma hizo ningekuelewa. Cha msingi zaidi, hakuna...
  7. K

    Usajili wa kampuni

    Ndg. MKULIMA WA KAWAIDA Nakuomba kwanza upunguze kidogo, jazba fanya tafiti kabla ya kutoa tuhuma ambazo ni senseless. Ungekuwa mtu makini ungefanya utafiti. Kazi hii sio tumeianza jana tuna muda mrefu, ungekuwa mmoja wa wale ambao wamepata huduma zetu then ukaja na tuhuma hizo ningekuelewa. Cha...
  8. K

    Usajili wa kampuni

    Ili kusajili kampuni yako kwa muda mfupi bila usumbufu, wasiliana na RMJ & CO.LTD kupitia 0714784154 au 0753784154
  9. K

    Sajili kampuni yako ndani ya mwaka 2012

    Ndugu CTU, nashukuru kwa udadisi wako.Sisi si Brela bali ni mawakala.Wala katika andiko langu sijasema sisi tunasajili.Kwa ufafanuzi zaidi, ukitaka kusajili kampuni kuna vitu vinahitajika ikiwa ni pamoja na Articles of Association, Memorandam na kujaza makabrasha kibao ambayo mengine yanahitaji...
  10. K

    Sajili kampuni yako ndani ya mwaka 2012

    Zikiwa zimebaki siku chache kumaliza mwaka 2012, wasiliana na RMJ & CO. LTD ili kusajili kampuni yako kwa bei nafuu ya prpmosheni na bila usumbufu.Fika ofisini kwetu Mandela Road - Dar (Opposite na Mabibo Hostel) au piga simu: 0714 784154/0753 784154
  11. K

    Usajili wa makampuni

    Ili kusajili kampuni yako kwa muda mfupi bila usumbufu wasiliana na RMJ & CO.LTD kupitia 0714 784154/0753 784154 au fika ofisini kwetu: Mandela Road - Opposite na Mabibo Hostel.
  12. K

    Usajili wa kampuni na biashara nyingine

    Nawasihi sana wote wenye maswali wafike ofisini au tuwasiliane kupitia namba nilizoweka hapo juu. Hakuna malipo yoyote kwa maswali au ushauri
  13. K

    Usajili wa kampuni na biashara nyingine

    Kama unataka kusajili kampuni yako kwa haraka na bila usumbufu, wasiliana na RMJ & CO. LTD tukuandalie makablasha yanayohitajika yakiwa ni pamoja na Memorandum na Articles of Association, kuyapeleka BRELA na kukuhakikishia upatikanaji wa hati ya usajili ndani ya wiki moja. Fika ofisini kwetu...
  14. K

    Kusajili makampuni au biashara nyingine

    Ndugu Asante, naomba tuwasiliane, bei zetu ni nafuu mno
  15. K

    Kusajili makampuni au biashara nyingine

    Ili kusajili kampuni yako au biashara nyingine ndani ya muda mfupi bila usumbufu wasiliana na RMJ&CO.LTD kupitia 0714 784154/0753 784154 au tembelea ofisi zetu zilizopo Mandela Road-Dar (Opposite na Mabibo Hostel)
Back
Top Bottom