Recent content by KAPINGA LAZARO

  1. KAPINGA LAZARO

    Fununu za wizi

    Mgombea Ubunge wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Jimbo la Ubungo, Saed Kubenea, amedai kuwa zaidi ya kadi milioni mbili za kupigia kura zinatengenezwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kwa ajili kuongeza kura za ziada za kukiwezesha Chama Cha Mapinduzi (CCM) kushinda katika...
  2. KAPINGA LAZARO

    Kama tulivyoitwa wapumbavu, tutdhimini haya

    MAMBO 20 NILIYOJIFUNZA KWENYE MKUTANO WA CCM JANGWANI. 1. Yamoto Band wameshangiliwa zaidi kuliko Magufuli, 2. Wakati Mbowe amewakutanisha Lowasa na Sumaye. Leo Jakaya amewakutanisha Diamond na Ali Kiba Jangwani, 3. CCM wanajua kuwa mikutano ya UKAWA inapata mafuriko, kwa hiyo nao walijitahidi...
  3. KAPINGA LAZARO

    Toa Tathmini Yako ya Mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni za CCM

    Mbona wamasomba watu kutoka sehemu mbalimbali kwa elfu 5000 na kupewa tisheti na kwenda kuwahutubia . Huu ni upumbafu na ulofa
  4. KAPINGA LAZARO

    Chama Cha Waalimu Tanzania (CWT): Hatutaichagua CCM

    Naunga mkono hoja siwezi kumchagua kiongozi wa ccm labda waendelee kuwadanganya wasanii
  5. KAPINGA LAZARO

    Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye ahamia upinzani Rasmi - Agosti 22, 2015

    Watu wote wenye hekima wanatoka ccm mwishoe ccm itabaki na wahuni tu
  6. KAPINGA LAZARO

    Kikosi cha kampeni cha CCM chatajwa kuongozwa na Kinana, Nape na Mwigulu ndani

    Ndio hiyo atapambana na mbowe kweli Lowasa hazuilikiii
  7. KAPINGA LAZARO

    Wanaohama CCM kwanini wote wanakimbilia CHADEMA?

    Chadema ndio tegemeo LA watanzania kwa sasa. Ni chama cha ukombozi dhidi ya makaburu weusi nchini. Ni chama chenye misingi mipana ya kidemokrasia.
  8. KAPINGA LAZARO

    Edward Ngoyai Lowassa anavuruga amani ya nchi

    Lowasaaa our coming President
  9. KAPINGA LAZARO

    Polisi wapiga marufuku maandamano kwa vyama vya siasa

    Hii ni wazi sasa police wetu wanatumika kwa maslahi ya ccm. Hii ni ya kidemokrasia police walipaswa kuweka modality nzuri ya watu kufanya maandamano yao sio kuzuia. Vyovyote watakavyofanya chaguo letu ni lowasa
  10. KAPINGA LAZARO

    Nimeamua kumpigia kura Lowassa kuwa Rais wangu

    Baada ya kutafakari kwa kina, Na kwa muda mrefu sana.... Nimeamua Kumpigia kura edwardlowassa kuwa Rais wangu wa awamu ya tano wa Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania bila kujali kashfa zake. Kama kweli alikuwa ana hatia, hao wanaohubiri kashfa hizi ndio waliotakiwa kumfikisha mahakamani. Nimeamua...
  11. KAPINGA LAZARO

  12. KAPINGA LAZARO

    Hongera sana Dr. John Pombe Magufuli, Rais wetu Ajaye wa Awamu ya Tano

    Baada ya kutafakari kwa kina, Na kwa muda mrefu sana.... Nimeamua Kumpigia kura edwardlowassa kuwa Rais wangu wa awamu ya tano wa Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania bila kujali kashfa zake. Kama kweli alikuwa ana hatia, hao wanaohubiri kashfa hizi ndio waliotakiwa kumfikisha mahakamani. Nimeamua...
  13. KAPINGA LAZARO

    Taarifa za kuwepo mtu mwenye dalili za Ebola Tanzania

    Napenda kutoa tahadhali kwa watanzania wote kupitia mitandao ya kijamii. Spin doctors wa CCM wako kazini baada ya kuona Lowassa ni Tishio. leo wamekuja na propaganda ya tishio la ugonjwa wa Ebola huko Nyarugusu mkoani Kigoma. Naomba tuwapuuze maana wanataka kuwatia hofu wananchi ili wasahau...
Back
Top Bottom