Nimeamua kumpigia kura Lowassa kuwa Rais wangu

Jul 23, 2015
48
12
Baada ya kutafakari kwa kina, Na kwa muda mrefu sana.... Nimeamua Kumpigia kura edwardlowassa kuwa Rais wangu wa awamu ya tano wa Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania bila kujali kashfa zake. Kama kweli alikuwa ana hatia, hao wanaohubiri kashfa hizi ndio waliotakiwa kumfikisha mahakamani.

Nimeamua kwa Moyo mweupe, Akili Timamu, Bila kushawishiwa na kwa uthabiti kumpigia Lowassa kura kwasababu zifuatazo; - Hatia yake ingethibitishwa na Mahakama pekee.
-Wanaomtuhumu leo (CCM) na serikali walitakiwa kumfikisha mahakamani.
.
-Chini ya CCM wanafunzi wanakaa chini

-Chini ya CCM huduma ya Maji ni shida

-Chini ya CCM rushwa na ufisadi umekita mizizi.

-Chini ya CCM shilingi imeporomoka na kufariki.

-Chini ya CCM huduma ya Afya ni shida

-Chini ya CCM Wajawazito wanajifungulia chini mahosptalini

-Chini ya CCM gharama za maisha zimepanda kukithiri.

-Chini ya CCM ajira hakuna kwa wasomi.

-Chini ya CCM viwanda vimekufa

-Chini ya CCM mashirika ya Umma yamekufa.

-Chini ya CCM Rasilimali zinatumika hovyo.

-Chini ya CCM Twiga wamepanda ndege bila kuonekana na rada.
Hawa twiga sijui walikuwa na Passport!

-Chini ya CCM waandishi wa habari wameuawa.

-Chini ya CCM maelfu ya wanavyuo hawana mikopo

-Chini ya CCM Elimu ya kuanzia shule ya Msingi hadi Chuo kikuu imeshuka kiwango cha ubora.

#3N
-NIMEJIANDIKISHA
-NIMEJIAPANGA
-NITATUMIA KIKATIO CHANGU VIZURI
 
Last edited by a moderator:

Haya mambo ni inabidi watu wadiscuss na kujiuliza, ni kweli tanzania ni maskini mpaka shule kukosa madawati, wagonjwa kulala chini, kukosekana umeme wa uhakika angalau siku 5 tu kwa wiki, kukosekana vitu rahisi kama mipango miji tu nk. Kweli ni maskini kiasi hicho.?!
 
Tuliambiwa kuwa Lowassa ni fisadi lakini baada ya Lowassa kuachia ngazi ndani ya serekali ya CCM,viongozi wa CCM walipiga pesa za wananchi kwa kwenda mbele utafikiri panya wanaofurahia baada ya paka kuondoka.
 
naunga mkono hoja apo juu
swal linakuja je vjana na wenye nia tumejpanga vp kumuondoa huyu ccm,,??
nikiwa na maana tunaushawsh kwa vjana wenzetu,wake zetu,waume na ndugu katka zoez hl la kumuondoa huyu jamaa ccm?????
 
Ccm Imetengeneza Richmond, Epa, Escrow, Deni La Taifa, Division Five, Watu Tunatibiwa Chini Ya Miti. Halafu Niipe Kura Yangu Thubutuu!? Kuichagua Ccm Ni Kulitia Taifa Hasara
 
Juzi walipiga hela za ESCROW na wakazibeba na magunia na Sandarusi. EL alikuwepo????????????????.

Mikataba ya gesi, EL alikuwepo??????????????????????.

Huu uwe mwaka wa mwisho CCM kuongoza hii nchi.

Kwanza wanamiliki ardhi ya watanzania kubwa mno hapa nchini- hizi parking na viwanja vya ccm ni vya kurudisha kwa wananchi.

VIVA EL
 
Ni sawa,nani kakuuliza?hiyo ni haki yako kikatiba kumchagua umtakae kwa dhamira yako mwenyewe
 
Back
Top Bottom