Recent content by kapellen

  1. K

    JamiiForums Tanzania DED Mbinga atuhumiwa kutapeli

    Weka uthibitisho na sio kutuletea maneno ya fb hapa kwa kutaka kuchafua watu, unaonekana kabisa una habari za kuokoteza zisizo na mashiko kwani hujulikani lipi umeegemea?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mpenzi lakini awe ngozi nyeupe

    Unataka mweupe nitafute mie, ni pm
  3. K

    JamiiForums Tanzania Shaffih Dauda angalia utachanika msamba, Msafiri Mgoyi na Almas Kassongo hawakutakii mema hao!

    Baada ya tuhuma za rushwa kule Mwanza, ukatangaza kwenye media kama umeamua kujitoa kwenye mchakato wa uchaguzi wa TFF lakini baada ya wapambe wako Mwenyekiti wa DRFA Almasi Kassongo na Mwenyekiti wa Kigoma Msafiri Mgoyi kukwambia usiandike barua ya kujitoa, ukaamua kukaa kimya na kusubiri...
Back
Top Bottom