Mkuu Huna hoja yoyote kaa kimya na mlishaelezwa ni matusi gani kamporomoshea baba wa taifa mmeshindwa kujibu nimeamini akili zenu hazina akili..
Kajipange upya..
Mpuuzi kweli wewe najua hata husomi chuo Hebu we tutolee hizo sababu za kuikataa hizo serikali tatu zilizopendekezwa na wananchi tuone kama hujakalilishwa na ccm waliozoea kukopy na kupest hata kutoa hoja wanashindwa utatwambia nn wewe!!...
Huyo mdada nami kaniudhi sana yaani atawezaje kutujumuisha sisi wanavyuo wote kuwa tunapenda serikali 2 na kutoa maoni yake binafsi labda nadhan atakuwa ametumwa na ccm kuichokonoa rasimu ya katiba iliyopendekezwa na wananchi,ila kila mtu ana mawazo yake na sio kutujumuisha wanavyuo wote wa tz...
Una mawazo mazuri sana ila ulishachelewa kama unataka hilo la serikali moja una uwezo wa kuibadili katiba ya Zanzibar isiwe nchi???hapa tatu ndo mpango mzima...
Hujielewi utawezaje kuthamin posho walizochukua kwa siku chache tu bila ya kuangalia katiba itakayokufanya kuishi kwa amani na maendeleo ya nchi,
l love uuuu Tanganyika.
Acha kwenda nje ya mada hebu ongelea maneno ya matusi yaliyotolewa na tundu na kwani nyerere hawezi kuwa mwongo au unadhani yale yote yaliyotolewa naye yalikuwa ya kweli.???
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.