Recent content by KANYONYOZI

  1. K

    JamiiForums Tanzania Should Tanzania welcome South Sudan (another CoW) into the EAC?

    Ipo reli ha TAZARA toka miaka ya sabini na ni SGR kama inayojengwa Kenya hivi sasa...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Tunahitaji Rais mwenye PhD, asie fisadi

    tazara
  3. K

    JamiiForums Tanzania Tunahitaji Rais mwenye PhD, asie fisadi

    Kakundanganya nani Kenya inapaa? Tafadhali usilinganishe kimo cha mbilikimo kwa kutafuta yupi ni mrefu zaidi. Wote ni mbilikimo tu! Inakera sana kujilinganisha na kenya. Tafuta nchi zenye maendeleo ya Kweli na wako mbali haswa. Kenya kuna nini hasa cha ajabu au cha kutushinda? Ni mambo madogo...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Diamond, ni nani kakwambia Sumaye na Lowassa ni kabila moja?

    Diamond ana haki kama raia yeyote kufanyia kampeni kiongozi anayemtaka. Hakuna cha ajabu hapo. Wala si jambo geni kwa watu maarufu kujitokeza nyakati za kampeni duniani kote na kuwaunga mkono wale wanaofikiri ni bora kwao na Taifa. Tuache chuki na uchochezi unaodumaza ukuaji wa demokrasia katika...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mkutano wa UKAWA na Wahariri, Makao Makuu ya CUF

    Magufuli ndiyo chaguo sahihi by far. UKAWA hawaaminiki itatokea yale ya Kibaki na Raila Kenya. Serikali ya nusu mkate.
Back
Top Bottom