Recent content by KanyeWest_Tz

  1. KanyeWest_Tz

    JamiiForums Tanzania Hivi hii Yanga itakua ni project ya chama cha mapinduzi ama?

    Na ndio uthibitisho wa jamii isiyo elimika
  2. KanyeWest_Tz

    JamiiForums Tanzania Hivi hii Yanga itakua ni project ya chama cha mapinduzi ama?

    Ila watanzania wanaweza kusema ya kuwa hiyo ni conspiracy theory
  3. KanyeWest_Tz

    JamiiForums Tanzania Hivi hii Yanga itakua ni project ya chama cha mapinduzi ama?

    Sasa mbona nyie mmekomaa na GSM?
  4. KanyeWest_Tz

    JamiiForums Tanzania Funzo kutoka kwa Elevenn/de Gunner

    Ninawashukuru sana haters sasa Elevenn yuko soo clean.. Anajua kudeal na hater si kwa majibizano tena binti kiziwi ephen_
  5. KanyeWest_Tz

    JamiiForums Tanzania Hivi hii Yanga itakua ni project ya chama cha mapinduzi ama?

    Hapana mm naona Simba hawana u chama ndani yao...
  6. KanyeWest_Tz

    JamiiForums Tanzania Hivi hii Yanga itakua ni project ya chama cha mapinduzi ama?

    Sasa mbona yanga inafanya kufuru kwenye soka namna hii?
  7. KanyeWest_Tz

    JamiiForums Tanzania Hivi hii Yanga itakua ni project ya chama cha mapinduzi ama?

    Kwamba huu ujumbe ni wa MO?
  8. KanyeWest_Tz

    JamiiForums Tanzania Hivi hii Yanga itakua ni project ya chama cha mapinduzi ama?

    Kikosi cha billion 14..yaana kwa wengine ni bajeti ya msimu mzima
  9. KanyeWest_Tz

    JamiiForums Tanzania Hivi hii Yanga itakua ni project ya chama cha mapinduzi ama?

    Sasa unafikiri mwekezaji gani huyo wa kufanana risk kubwa namna hiyoo?
  10. KanyeWest_Tz

    JamiiForums Tanzania Kila nikiona yanayo tokea sasa hivi, hata sishangai

    Nimejikuta na kutana na clip ya jembe maghufuli mtandaoni. Na Hakika alikuwa ni mtu wa kipekee sana. It was once in a lifetime. Watanzania sisi hakika tumerogwa.. Na huu ndo ukweli Mchungu. Yaani kipindi kile waliokuwa wanamuunga mkono magu walikuwa watu hali ya chini. Maana alifanya juhudi...
  11. KanyeWest_Tz

    JamiiForums Tanzania Hivi hii Yanga itakua ni project ya chama cha mapinduzi ama?

    Kwa sajili hizi ambazo ziko nje ya uwezo wa kiuchumi wa timu husika.. Kutakuwa na namna chama cha CCM wanatumia yanga kama distraction kwa taifa ili mambo yao yaende smooth na vuguvugu la kisiasa liweze kudisolve kiaina. Haikawahi kutokea club hapa Tanzania ikafannya kufuru ya namna hii kwa...
  12. KanyeWest_Tz

    JamiiForums Tanzania Haya haters wa Jux kiko wapi?

  13. KanyeWest_Tz

    JamiiForums Tanzania Funzo kutoka kwa Elevenn/de Gunner

    1: Kama Jesus walimsurubu kwa kuponya na kufanya miujiza iweje wewe ukubalike? de Gunner amekuwa na kitu special katika jukwaa hili.. Ni mtu aliyependa ukweli, alipenda kuongea point na kuitetea kwa nguvu zote, ila hakujua ya kuwa human nature imeumbwa na ego.. Ego ni enemy wa binadamu. Kitu...
  14. KanyeWest_Tz

    JamiiForums Tanzania Sasa kijana tumia fursa kabla haujawahiwa

    Kwahiyo maneno mwanasaikolojia ubaya kataa?
  15. KanyeWest_Tz

    JamiiForums Tanzania Sasa kijana tumia fursa kabla haujawahiwa

    Wewe si ndo wale wale kasoro tarehe?
Back
Top Bottom