Hadi sasa timu yetu imeshachapwa mabao mawili na madagascar sioni striking force sioni kama boko anaweza kufunga sioni anachocheza oscar joshua....mbonde leo xenophobia umeiweza ...
Naomba msaada wenu!
Kama umefaulu vizuri kidato cha sita kupitia masomo ya arts naweza nikaanza kupata degree na naweza kusomea Transport and Logistic?
Msaada wana JF!
Mimi pia ni mkazi wa tanga yani mtoa posti yuko sawa sana maaana watu wa huku kwa ccm huwaambii kitu.......inawezekana imesababishwa na mambo mengi ila sio suala la elimu ndogo peke yake.....kutakuwa na sababu nyingne
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.