Recent content by Kanti christian

  1. Kanti christian

    Freeman Mbowe mishale mingi lakini hachoki, hapoi. Je ana mrithi?

    Ukimtoa Tundu Lissu, John Heche ndo unayeweza kuvaa viatu vya Mbowe hakuna mwingine pale
  2. Kanti christian

    Kwanini sio wewe?

    Akijibu nishtue
  3. Kanti christian

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Omary mkali feat banza stone
  4. Kanti christian

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Euro 10 - banza stone msaada
  5. Kanti christian

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Kuna huu wimbo umeimbwa kama si kosei Ditto (wa watupori)corus yake inasema "Nimemfukuza mpenzi wangu eti kwa sababu ya bintii..moyo wangu unauuma..moyo wangu unachoma sana...binti huyu amekuja na barua toka kwa wazaziii.." Nautafuta sana huu wimbo bila mafanikio msaada plz
  6. Kanti christian

    Watanzania waliopo nje ya nchi watapataje vitambulisho vya Taifa?

    Inafanya kazi mkuu mimi nimefanikiwa! Hebu jaribu hii https://services.nida.go.tz/nidportal/get_nin.aspx
  7. Kanti christian

    Naomba msaada wa kupata sehemu ya kufanya field

    mkuu nisaidie namba yako tuweze kuwasiliana zaidi
  8. Kanti christian

    Naomba msaada wa kupata sehemu ya kufanya field

    dah halafu umenipa wazo ntalifanyia kazi mkuu
  9. Kanti christian

    Naomba msaada wa kupata sehemu ya kufanya field

    Dah umebahatika kweli ndugu yang TRA pale sio mchezo ila mi pia naamin mungu atanisadia siku moja
  10. Kanti christian

    Naomba msaada wa kupata sehemu ya kufanya field

    "Nashukuru sana kwa kunipa moyo na kuhusu maeneo ya kufanyia field ni kwenye ofisi yeyote yenye kitengo cha Production manager, Marketing Manager, au Human Resource Manager"
Back
Top Bottom