Recent content by kantasundwa

  1. kantasundwa

    JamiiForums Tanzania GE2020 Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu atinga Kariakoo kutafuta mahitaji

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mnaumiaje? Kwn mwanaume haruhusiwi kununua nyanya na Nazi?
  2. kantasundwa

    JamiiForums Tanzania GE2020 Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu atinga Kariakoo kutafuta mahitaji

    Weee bia yangu ww, unamdanganya nani ww? Tunakujua ww Ni CCM damu
  3. kantasundwa

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli: Uchaguzi huu ndio utaamua kama tuendelee au tusiendelee na Muungano

    Hivi huwa mna ung'ang'ania muungano kwa faida ipi? Maana naona muungano Ni sawa na uwepo wa mwenge .. yaani hakuna faida isipokuwa Zenji ndio wanaumizwa na hicho kitu
  4. kantasundwa

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA: Tunamuunga mkono Maalim Seif kwa Urais Zanzibar. Lissu hataendelea na kampeni, atapangiwa majukumu mengine

    Hv akienguliwa lissu unaweza ww kuingia barabarani kumpambania? ..au unajifurahisha tu huku jf!? Eti mbowe muoga ..hv unaijua nguvu ya chadema iko wp?? Acheni utani bhana ...usikute mnaopampulisha hii inshu Ni maccm ...tuwaambie tu kuwa maamuzi ya kamati kuu tunayaheshimu na tunaiunga mkono...
  5. kantasundwa

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA: Tunamuunga mkono Maalim Seif kwa Urais Zanzibar. Lissu hataendelea na kampeni, atapangiwa majukumu mengine

    Acha upimbi ndg, sio kila kitu utumie nguvu hata pasipohitaji nguvu ..unakipi ulichokifanya ndani ya chadema hadi umuite mbowe muoga? Si ajabu unaandika huu Utupolo ukiwa nje ya nchi ..cku Saba sio nyingi kvile mpk zisababishe mgombea aenguliwe kwenye kinyang'anyilo...tunajua mpo mnachochea kuni...
  6. kantasundwa

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM imebaki na mkoa wa Dodoma tu kama ngome yake huku ikiwa imepoteza kanda zote

    Kwa mkoa wa Rukwa ccm mwaka huu wana hali mbaya kuliko hata singida ..wafipa wamebadilika ile mbaya ..
  7. kantasundwa

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kitendo cha Tundu Lissu kukubalika Kanda ya Ziwa kwa kiwango hiki inaashiria nini?

    Rutashobolwa Ruttashobolwa Ruttashobolwa ninani aliyekuloga? Amin nakuambia lissu atashinda hata kabla ya jogoo wa tatu hajawika ..na ndipo mtakapolia na kusaga meno ..tubuni dhambi zenu kabla Mambo hayajaharibika ..ohooo shauri yenu
  8. kantasundwa

    JamiiForums Tanzania Strategy ya Lissu Kanda ya Ziwa ina mapungufu kidogo

    Ujue hata wasukuma wamefikia wamemchoka msukuma mwenzao na hii nimeikuta chatto 2019 wakijiapiza kuwa watamnyima kura jiwe ..yapo Mambo mengi hajawatekelezea hivyo hiyo kanda Kuna 50/50 tofauti na kanda za nyanda za juu kaskazini na kusini ambapo jiwe ataendelea kupoteza kura ..kifupi huu mwaka...
  9. kantasundwa

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa ndugu Tundu Lissu

    Aiseee ukiitwa mwanaccm embu njoo hapa ..pigana Wala usisite ndg ..Kama sio mwanaccm tafadhari pambana kuitwa hivyo ..aliyeandika huu upimbi Ni mwanaccm pure ile ile na itakuwa Ni pole pole chakubanga ..kaandika Utupolo mtupu
  10. kantasundwa

    JamiiForums Tanzania GE2020 Meneja Kampeni CUF: Adui wa CUF ni adui wa CHADEMA na adui wa CHADEMA ni adui wa CUF hivyo hakuna sababu ya kuhitilafiana

    Ndo laana inayoitafuna cuf na itaitafuna hd kaburini
  11. kantasundwa

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wapinzani kuweni makini na njama zinazopangwa dhidi yenu

    Jaribu kuficha ujinga wako mkuu ..utafanya hata waliokuwa wanakuheshimu wataanza kukudharau kuwa haunazo
  12. kantasundwa

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wapinzani kuweni makini na njama zinazopangwa dhidi yenu

    Usikute aliko anajiita msomi kumbe Ni kilaza htr
  13. kantasundwa

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wapinzani kuweni makini na njama zinazopangwa dhidi yenu

    Kweli wee pimbi, sheria Ina mruhusu msimamizi wa uchaguzi kumuwekea mgombea udiwani au ubunge pingamizi ... mbona matanga wabishi kiasi hicho??
  14. kantasundwa

    JamiiForums Tanzania Kanisa la Efatha la Mch. Mwingira limejengwa sehemu ambayo nina mashaka nayo

    Tulijua lazima hayo yatokee baada ya juzi clip kumuonyesha akimsifia mungu kwa maajabu aliyoyaonyesha kwa mhe.Lissu ...risasi 16 na bado yu hai?? Huyu mtu Ni mshindi ..alisikika pastor Mwingira ..povu povu ccm povuuuuuuuuuuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  15. kantasundwa

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wapinzani kuweni makini na njama zinazopangwa dhidi yenu

    Mabango yapo na yanaendelea kubandikwa na tunayabandika kwa kasi
Back
Top Bottom