Recent content by Kankwale

  1. Kankwale

    JamiiForums Tanzania Askofu Fredrick Onael Shoo ashinda kuwa Mkuu wa Kanisa la KKKT

    Hongera zake Amekubalika achape kazi ya Mungu jamii iwe maadili
  2. Kankwale

    JamiiForums Tanzania BBC Dira ya Dunia: Zari athibitisha kuachana rasmi na Diamond

    Kiki zinaendelea time will tell
  3. Kankwale

    JamiiForums Tanzania Serikali kukataza wenye nyumba kukusanya kodi ya miezi 6, yasema inaumiza wengi

    Watasaidia kurasimisha nyumba ili mabenki yatoe mikopo zijengwe nyingi
  4. Kankwale

    JamiiForums Tanzania Ukikutana na simba ghafla, fanya haya..

    Simba wa 4G
  5. Kankwale

    JamiiForums Tanzania Mbowe atangaza UKAWA kutokuwa na Imani na Naibu Spika, hawatohudhuria vikao vitakavyoongozwa nae

    Darasa la kwanza la elimu bure wako fiti.
  6. Kankwale

    JamiiForums Tanzania Udhaifu wa Naibu Spika Dr. Tulia Ackson na Uhuru wa Muhimili wa Bunge

    Usiombe kufukuzwa chuo wiki ya mwisho ya boom
  7. Kankwale

    JamiiForums Tanzania Lissu, Bulaya, Zitto, Pauline, Lema na Mdee wasimamishwa kuhudhuria vikao vya Bunge

    Uchambuzi mzuri wa hoja kufikia uamuzi, lakini ukishika mpini wa kisu utumie vizuri, siku akishika mwingine usituombe msaada wa kupiga yowe.
  8. Kankwale

    JamiiForums Tanzania Ndalichako: Wanaodaiwa na HESLB tutaweka majina yao magazetini kuwashinikiza kulipa

    Sisi tuliosimamishwa vyuo kama adhabu ya kufanya mgomo kupinga ulipaji wa msaada/mikopo pindi bodi ilipokuwa inaanzishwa. itakuwaje?aweke majina tu tujue kiasi gani tunadaiwa.
  9. Kankwale

    JamiiForums Tanzania TRA taarifa kwa Umma: Tishio la wafanyabiashara kufunga maduka

    Unakimbizana na vikodi vidogo wakati mikataba ya umeme ikivunjwa tutaweza kujitegemea hata kwa kutumia vibatari.
  10. Kankwale

    JamiiForums Tanzania Mbunge Kahama: Wanafunzi waruhusiwe bila Viatu na Sare(Uniform)

    Mbunge anaturudisha zama za ukoloni
  11. Kankwale

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif Shariff Hamad Rais Zanzibar, maandalizi ya kutangazwa yaiva

    Hata akipewa ushindi umekwisha kosa mvuto labda na Jecha afikishwe mbele vyombo vya sheria kwa kutumia madalaka vibaya.
  12. Kankwale

    JamiiForums Tanzania Kamanda Kova Akutana na Waandishi wa Habari

    Hongera Kamanda kwa kustaafu ni wachache wanaofikia hatua hiyo.
  13. Kankwale

    JamiiForums Tanzania Ujerumani yaipa Tanzania ndege mbili

    Safi sasa majangili watakiona cha moto.
Back
Top Bottom