OH! KUMBE NI MWAMINIFU! Hongera yake.Tunamtakia maisha mema ya kustaafu ametumikia serekali kwa uaminifu ni wakati wake sasa kupumzika
Uadilifu ni relative term....OH! KUMBE NI MWAMINIFU! Hongera yake.
Hapa kuna kitu Kova ana pre-empty. Yeye ndiye anamteua mtu wa kumrithi? Kwa nini akimbilie kutangaza as if yeye ndiye anayefanya uteuzi? Hapa kuna kitu. Hiki kitete siyo bure.
Endeeni kuangalia. Huu ni mwanzo wa episode ya kwanza!.
Wapi imeonyesha kuwa yeye ndiye kamteua siro....yeye katangaza tu ila uteuzi umefanywa na mhusikaYeye ndo anachagua mrithi!!
Tunamtakia maisha mema ya kustaafu ametumikia serekali kwa uaminifu ni wakati wake sasa kupumzika
Tunamtakia maisha mema ya kustaafu ametumikia serekali kwa uaminifu ni wakati wake sasa kupumzika
Una utani na mzee wa intelejensiaHuyu jambazi inabidi achunguzwe kabla hajastaafu kwani nina mashaka anahusika na mtandao wa ujambazi hapa mjini.
sasa si ndio ukweli. Tabaigana alikuwa jembe na huyu alikuwa jembe kwelikwelikwani kwa sasa wizi kwa kweli umepungua. Na alieleza mbinu zake natumaini atakayemrithi atazitumia pia!!! Hongera saaana Mh. Kova kwa utumishi uliotukuka!Hata kwa Tibaigana mlisema hivyohivyo sasa sioni jipya kwenu!!