nakupinga kwa hilo, nimetoa oni most of engineering students by that time wa hayan na km walitoa wanfunzi kutoka engineering what did you expect?is to get many hayas
kilitime ujatulia hiyo sio oja hakuna pccb hapo wala nini acha mizengwe, wambie pccb waende mhasibu mkuu wa serikali na wizara ya fedha kwa ujumla kumeoza wanyakyusa na iringa tupu vimemo we umeona ucc
mie nitoe ushauri tu kwa prof beda kuwa yeye huruma yake imezidi sana tu baba wa watu kwani kuna baadhi ya ndg zake wapo pale hawana elimu ya kutosho ila wapo na ndo wanjifanya kiburi kisa ni ndugu wa prof beda. nadhani mzee beda kabla ajampa mtu kazi ambae ni ndugu yake ampatie masharti ya kazi...
mchangiaji wa mwisho nakusifu sababu umetoa maneno mazuri sana kuhusu ukabila unaosemwa ucc, kama ukabila upo ucc si kiwango cha kusema wakijitokeza wahaya kwenye interview basi wengine wanatupwa kushoto na wahaya ndo wanachukuliwa ila tukubali ukweli kuwa ukija kwenye issue ya masomo ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.