MMhhh!!!mara nyingi stori kama hizi huwa nasoma kwenye magazeti, kama imekutokea laivu pole!! huna haja ya kumwambia uncle wako utamuumiza sana, na endapo atachukua hatua yoyote jua itakuwa ni matokeo ya hasira baadae kibao kitakugeukia ndugu, na mahusiano na mjomba wako yatakuwa hatiani, hivyo...