Recent content by Kangura

  1. K

    Roofing materials: Aina mbalimbali, faida na hasara zake

    Mkuu uko sashihi kabisa, na kwa kuongezea, vigae vya Magufuli alivinunua Nabakia Afrika na sio vigae vya India kama mdau alivyosema. Mshua wangu alimuuliza dr. kwani hata home tumeezekea hivyo vigae. Magufuli aliezeka tangu yr2000 na mpaka sasa viko vile vile. Tuliezeka 2008 na mpaka sasa viko...
  2. K

    Baraza la mawaziri kutangazwa wakati wowote-Ikulu!!

    Huko ni kubadilisha suti ili kupokea tuzo nyingine ya kili, mwanamziki ni yuluyule na wema wake. Hamshangai kila mume hamfai? Kadhalika baraza la mawaziri ni sanaa tu!
  3. K

    Nampenda sana waziri Magufuli, ni waziri ambaye hana mfano

    Ni mjanja kati ya waliofeli
  4. K

    Nampenda sana waziri Magufuli, ni waziri ambaye hana mfano

    Chukua wanafunzi hamsini wa walioshika nafasi za mwisho katika mtihani wa kata darasa la nne, kisha wape mtihani uleule waufanye tena! Ni dhahiri shahiri kuwa kutakuwa na wa kwanza hadi wa mwisho. Magufuli ni mjanja wa waliofeli! Siwalazimishi kukubali!
  5. K

    JAJI wa MAHANGA hakuwa na jinsi...

    Mwisho wa ubaya ni aibu! Hata KANU iliongoza kibabe kwa miongo kadhaa kabla ya kufutika kabisa kwenye ramaani.
  6. K

    Kifo cha Kanumba: Ni uzembe tu? Sio Lulu!

    111111111111111111111111111111111111111111111111111111111111111111111111111111111111111111111111111111111111111111111111111111111111111111111111111111111111111111111111111111111111111111111111111111111111111111111111111111111111111111111111111111111death is death!
  7. K

    Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

    Every death has its cause! Stop mummering, can we get a real cause of Kanumba's death b4 we judge who is or not juvenile? We have prisons for juvenile too!
  8. K

    Wabunge wamkana Spika Anne Makinda kuacha ubunge

    Nasema hiii, sio Makinda peke yake mwongo! Hata anyejiita mtoto wa mkulima alisema kuwa hawezi kumuwajibisha David Jairo kwa kuwa mamlaka iliyomuweka madarkani ni nyingine lakini wakati huu kamuwajibisha Blandina na wenzake ambao wamewekwa na mamlaka ileile aliyosema ni nyingine! Mimi nashauri...
  9. K

    Wabunge wamkana Spika Anne Makinda kuacha ubunge

    Nasema hivii, si Makinda tu peke yaka mwongo hata anayejiita mtoto wa mkulima. Si muda mrefu alisema eti yeye hawezizi kumuwajibisha Davidi Jairo kwa sababu mamlaka iliyomweka madarakani ni nyingine. Nashangaa kina Blandina wa wizara ya afya kawawajisha. Ushauri wangu ni kuwa itengenezwe kitu...
  10. K

    Employment Agencies

    Wapendwa, nadhani zile enzi za ufalme zimejirudia tena. Naona wameanza kurithishana viti vya ubunge. Hivi niuliza, kama watoto wa Mwenye heri Nyerere wangerithishwa urais wa nchi hii kina Mwinyi, Mkapa na Mrisho wangesogelea Magogoni kweli?
Back
Top Bottom