Recent content by Kangol

  1. Kangol

    Lowassa: Kwa kupitishwa sababu hizi kamati kuu (CC), May 2015 nagombea urais wa JMT

    Usimtaje nyerere, alishasema lowasa mwizi. Usitaje aliondoa umaskini, ameiba na kutajirisha familia yake na rafiki yake rostam. Sisi wengine tunamwona fisadi na kuwashangaa ninyi ambao mnapewa hela ya bia na kuisaliti nchi. Hivi unadhani utapewa cheo gani,( ´_ゝ`)( ´_ゝ`)(*^o^*) wewe
  2. Kangol

    Pinda rais 2015?

    Nyangeta mm sina tatizo na pinda kama angebaki pinda tunayemfahamu.huyu wa sasa mmmm....vibali vya sukari anatoa yeye badala ya waziri c.chiza. pia, kumpa masaburi akusanye fedha za kampeni yake is wrong. Huyu meya anafahamika kuwa kitovu cha uzembe na kielelezo cha ufisadi. Sasa pinda ndiye...
  3. Kangol

    January Makamba: Waliochota fedha za ESCROW wabanwe zaidi

    Huyo dogo tunamsubiri achukue fomu tumwage hadharani mambo yake...kwanza aliyofanyiwa marekani alipokuwa anasoma...hahaha.
  4. Kangol

    Kwa lipi Lowassa apewe nchi?

    Nikukumbushe ameuliza swali zuri sana.nashukuru watanzania tumeanza kufunguka macho kuwa inabidi rais ajaye awe imara kupiga vita ufisadi na rushwa. Tukiendelea hivi nchi itaangamia. Kwa sasa bahati mbaya lowasa hana sifa hiyo.track record yake inamshtaki.pia amezungukwa na wezi, wakwepa kodi na...
  5. Kangol

    Bernard Membe: Ndoto zake za urais zimejaa Fitna, Visasi na Mbeleko

    Concrete umeganda....nani anautaka urais kwa nguvu zote kama sio waziri mkuu mwizi lowasa.umesikia wapi membe ametumia hata centi kuutaka urais.wwewe ushabiki wako wa kijinga utaendelea kukufanya maskini wewe na watoto wako. Badala ya kusimamia ukweli unababaishwa na hela ya bia na y chips...
  6. Kangol

    Membe: Ngeleja ni tishio urais 2015

    Usinichekeshe...ngeleja awe rais? Labda rais wa kamati y ya Miss tanzania. Ashindane na lundenga.
  7. Kangol

    Ni halali ndg Edward Lowassa kuitwa 'Waziri Mkuu mstaafu'?

    Huwezi kumwita mstaafu.huyo mtu anayejiita mmasai wakati ni mmeru na aliwahi kumwibia baba yake mbuzi ni waziri mkuu msita-hafu. Lakini sio mstaafu. Tena inafaa katiba ijayo iweke wazi suala hilo.sio jitu limetuibia halafu linaendelea kutunzwa na kodi za wananchi...wananchi wenzangu tuungane...
  8. Kangol

    GE2015 Apson awatumia kina Bashe kuwachafua Membe na Jack Gotham

    Membe anajulikana kuwa ni adui wa mafisadi na ufisadi. Kwa hivyo sio ajabu hao wezi wa mali ya umma wakamzushia uongo. Bahati nzuri siku chache zijazo ukweli utajulikana. Halafu mzee apson umeliibia sana taifa la tanzania.bado hujaridhika tu...una nyumba kila kona ya dunia..dubai, afrika kusini...
  9. Kangol

    GE2015 Apson awatumia kina Bashe kuwachafua Membe na Jack Gotham

    Hivi karibuni pamekuwa na taarifa zinazosambazwa kwenye mitandao ya jamii eti mhe. waziri membe nae amepewa mgao wa fedha za escrow na kwamba atawatumia wabunge wa upinzani kuiangusha serikali. Taarifa hizo ni za uongo.watu wanaomfahamu waziri membe watakubaliana nami kuwa waziri membe...
  10. Kangol

    Kwanini Watanzania na Tanzania ni masikini pamoja na rasilimali (resources) tulizonazo?

    Kama watanzania wataendelea na ushabiki wa kijinga wa kuchagua viongozi wenye historia ya ufisadi na wizi; kama watanzania wataendelea kuwasifu na kuwaheshimu wezi wa mali ya umma na wakwepa kodi; kama watanzania tutaendelea kutumiwa na wanasiasa kufikia maslahi yao; tutaendelea kuwa maskini...
  11. Kangol

    Dodoma: Mbinu chafu za Lowassa kumhujumu Waziri Mkuu Mizengo Pinda zavuja

    huyo mzee wa kimasai hafai kabisa. anadhani hela zake za wizi zitampeleka ikulu...........hatufai mwizi huyooooooo:hatari::hatari:
  12. Kangol

    PICHA: EDWARD LOWASSA na Amani Karume hawapo ndio Viongozi wa CCM 2015?

    mlevi, asiyependa muungano na mmiliki la kundi la uamsho akishirikiana na fisadi, mwizi, mwenye uchu wa madaraka na afya inayotetereka, uongozi wa nchi utazamisha watanzania:glasses-nerdy:
  13. Kangol

    Ndoto ya Mhe Membe Hii Hapa

    funza pole; kumbe umelewa. ukiwa sober karibu tujadili. suala la mtu kuchafuliwa lipo wapi hapa. acha ulevi.
  14. Kangol

    Ndoto ya Mhe Membe Hii Hapa

    funza lowasa anaumwa. ni kazi ya mungu wala usimsingizie mtu
  15. Kangol

    Ndoto ya Mhe Membe Hii Hapa

    jibu hoja, sio jazba
Back
Top Bottom