Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imejidhatiti kikamilifu katika kupigania usawa wa kijinsia kati ya watoto wa kike na wale wakiume. Lakini kwa siku za hivi karibuni serikali imejenga dhana ya kumbagua mtoto wa kiume na kumkweza mtoto wa kiume akitangatanga bila ya msaaada wowote ule...
Somo la kilimo (Agricultural sciences) ni miongoni mwa masomo yanafofundishwa katika elimu ya sekondari pekee kama somo ambalo mwanafunzi anachagua kusoma. Kutokana na umuhimu wa somo hili na tija kubwa itokanayo na sekta hii adhimu serikali haina budi kulifanya somo hili kuwa la lazima katika...
RAIS shikamoo,
Pole na Hongera sana kwa majukumu mazito ya kusukuma gurudumu la taifa letu. Mheshimiwa RAIS naandika BARUA hii nikiwa na majonzi mazito sana moyoni mwangu. Mheshimiwa RAIS nitajikita katika wizara ya TAMISEMI hususan katika SEKTA ya ELIMU kwani ndiyo sekta nyeti sana katika nchi...
Serikali kupitia OR TAMISEMI inawajibu wa kuwaajiri walimu hususan wahitimu wa mwaka 2015-2018 kwa mkupuo bila kujali masomo waliosoma.
Walimu hawa wengi wao wapo mitaani wakirandaranda huku na kule ili kuwezesha mikono yao iende kinywani.
KWANINI SERIKALI IWAAJIRI WALIMU HAWA KWA MKUPUO?
1...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.