Recent content by Kanamusi

  1. Kanamusi

    Mbunge Musukuma acha kiherehere cha kutusemea watu wa Kanda ya Ziwa

    Hakuna anayelipwa kumsema vibaya jpm ebu msikilize jpm mwenyewe hapa akikiri wazi kuwa yeye ni kichaa
  2. Kanamusi

    Mbunge Musukuma acha kiherehere cha kutusemea watu wa Kanda ya Ziwa

    Sema msimamo wako na msukuma sio kanda ya ziwa. Mambo ya kugeneralize ndio siyataki
  3. Kanamusi

    Mbunge Musukuma acha kiherehere cha kutusemea watu wa Kanda ya Ziwa

    Afanye siasa lakini hasituingize watu wa kanda ya ziwa kwenye agenda zake binafsi za kisiasa na ukabila wake. Kwa bahati nzuri yeye ni mbunge kwanini asizungumze kwa niaba ya wananchi wa jimbo lake hadi atuhusishe wananchi wote wa kanda ya ziwa,?
  4. Kanamusi

    Mbunge Musukuma acha kiherehere cha kutusemea watu wa Kanda ya Ziwa

    Huyu msukuma alikuwa ni chawa pro max wa Jpm na kwenye kambi ya lowassa alienda kimkakati kuratibu (kusinichi) kila kilichokuwa kinaendelea kule na kupeleka taarifa kwa jpm ameishi hivyo hivyo kwa usinitch na kuchongea watu kwa jpm hadi wengine kufukuzwa kazi na kuvuliwa nyadhifa za chama. Sasa...
  5. Kanamusi

    Mbunge Musukuma acha kiherehere cha kutusemea watu wa Kanda ya Ziwa

    Hakuna anayepinga msukuma kutoa mawazo. Tunachopinga sisi ni msukuma kutuingiza watu wote wa kanda ya ziwa kwenye maoni yake na kusema kwamba sisi ndio tuliomtuma wakati si kweli
  6. Kanamusi

    Mbunge Musukuma acha kiherehere cha kutusemea watu wa Kanda ya Ziwa

    Ah! Wapi! Tutake radhi watu wa kanda ya ziwa hatuwezi kuwa na msimamo wa kijinga namna hiyo
  7. Kanamusi

    Mbunge Musukuma acha kiherehere cha kutusemea watu wa Kanda ya Ziwa

    Serikali imeweka utaratibu wa kila mwanasiasa kufanya siasa katika jambo lake sasa yeye kinachomtoa huko jimboni kwake vijijini na kuja kuturopokea kwenye jiji letu ni nini?? Kwani hawezi kuropokea kwenye jimbo lake? Kama anataka kupandikiza ukabila kwenye kanda yetu mwambie huo ujinga aupeleke...
  8. Kanamusi

    Mbunge Musukuma acha kiherehere cha kutusemea watu wa Kanda ya Ziwa

    Kanda ya ziwa imesheheni wasomi, wastaarabu na watu tunaojitambua usituweke kundi moja na huyo kilaza anayetumiwa na wajanja kupayuka uharo baadaye wanamtekeleza kama toilet paper
  9. Kanamusi

    Mbunge Musukuma acha kiherehere cha kutusemea watu wa Kanda ya Ziwa

    Sijamkataza kufanya siasa lakini afanyie kwenye jimbo lake sisi watu wa kanda ya ziwa hatujawahi kumchagua mahali popote pale kuwa msemaji wetu. Aache kiherehere
  10. Kanamusi

    Mbunge Musukuma acha kiherehere cha kutusemea watu wa Kanda ya Ziwa

    Anataka kujifanya kila kitu anakijua ndio maana anajiweka kimbele mbele kwenye kila jambo hata hata linalomzidi kimo yeye yumo tu. Anakera sana!!!!!
  11. Kanamusi

    Mbunge Musukuma acha kiherehere cha kutusemea watu wa Kanda ya Ziwa

    Mbunge Musukuma sisi wakazi wa kanda ya ziwa hatukukutuma na hatujawahi kukuchagua kuwa msemaji wetu kwa jambo lolote. Sisi wazee na watu wa kanda ya ziwa hatukukutuma kusema hayo unayoita mapigo ya kumjibu Antony Diallo na kama ulikuwa na nia ya kujibu mapigo ungemjibu kwa utashi wako au kwa...
  12. Kanamusi

    RC Mtaka yupo sahihi. Ni kweli kabisa viongozi wetu hawana uchungu na elimu ya watoto wetu

    Kweli kabisa ndio maana hawataki kuboresha mazingira ya shule zetu ili kusudi watoto wao waje kuwa watawala wa watoto wetu ambao wamepitia mfumo wa elimu duni na kama wazazi tusipoamka na kuibana serikali basi watoto wetu watabaki kuwa wasindikizaji
  13. Kanamusi

    RC Mtaka yupo sahihi. Ni kweli kabisa viongozi wetu hawana uchungu na elimu ya watoto wetu

    Pamoja na approach aliyoitumia ila alichokisema RC antony mtaka ni ukweli uliochelewa kusemwa kwa sababu ni kwa miaka mingi sana elimu yetu imekuwa ikifanyiwa siasa na kuharibiwa na viongozi tuliowapa dhamana ya kuisimamia. Mara kadhaa kumekuwa kukitolewa matamko yasiyo na kichwa wala miguu...
  14. Kanamusi

    GE2020 Ukara: Wananchi wamuua mtu aliyetaka kumteka mgombea udiwani wa kata ya Bwisya kwa tiketi ya CHADEMA

    Leo tena inasemekana kuna mwingine ameuawa kwenye kisiwa hicho hicho cha ukara na jana kulizuka vuruga katika kata ya bukongo wakati wa urejeshaji fomu baada ya kutokea hali ya kutokuelewana kati ya mtendaji wa kata na wafuasi wa chadema G Sam fuatilia utupe habari kwa kina hili la leo
Back
Top Bottom