Mbunge Musukuma acha kiherehere cha kutusemea watu wa Kanda ya Ziwa

Wewe unamkataza musukuma kuwasemea watu wa ziwa mbona hatujakaa kikao kama wana ziwa tukakutuma wewe ukanushe hayo ya musukuma.kimsingi musukuma yuko sawa dialo kakosea sana.
Dialo alisema uongo au ukweli ?!. Kosa gani wewe unaliona kwenye maneno ya Dialo ?
 
Aendeshe biashara bila kulipa kodi kisa mwana ccm,akijua jpm anafaili kwa nini kwenye uteuzi hakusema na yy ni mjumbe wa vikao? odhiambo watu wanalipwa ili kumsema kijinga jpm na dialo huende kala mshiko.
 
Wewe unamkataza musukuma kuwasemea watu wa ziwa mbona hatujakaa kikao kama wana ziwa tukakutuma wewe ukanushe hayo ya musukuma.kimsingi musukuma yuko sawa dialo kakosea sana.
Najaribu kuelewa hoja yako kuwa Musukuma yuko sawa, Diallo kakosea sana.
Nataka niwe upande wako.
Kwamba Diallo kakosea, Musukuma yuko sawa.
Musukuma anasema Diallo alikuwa Kambi ya Membe.
Musukuma anasema baada ya Uchaguzi, alifanikisha kikao cha Diallo kukutana na Magufuli.
Alifanikisha kikao hicho kwa sababu wote wawili, Magufuli na Diallo ni rafiki zake.
Baada ya Kikao hicho cha Diallo na Magufuli, tumeambiwa hapa JamiiForums na MwanaCCM Bw. Bollen Ngetti kwamba Diallo alimuita Bernard Membe aende kukutana nae, na aende na gari ya kukodi.
Bernard Membe hakwenda baada ya kupata taarifa kuwa huo ulikuwa mpango wa kumpoteza.
Kwamba Diallo kushindwa kufanikisha mpango huo, kulimuudhi sana Magufuli, ambaye aliamua Diallo apate madhira yaliyompata, ikiwa ni pamoja na kunyimwa malipo kwa kazi ya kuifanyia Kampeni CCM.
Hapa ninapata picha kuwa Mbunge Musukuma alikuwa sehemu ya kutaka kumpoteza Bernard Membe.
Na kwa kauli yake kuwa Kanda ya Ziwa ndiyo iliyofiwa baada ya Magufuli kuaga dunia, inaonyesha kuwa Ukanda ulikuwa uamuzi rasmi wa Utawala wa Magufuli ukipigiwa chapuo na watu wa aina ya Musukuma!
Siasa za Ukabila zitatufikisha wapi?
 
Fundimchundo siasa za mafungu ya kikanda haziwezi kutupeleka hapa naona dialo yuko tayari kufanya chochote kwa maslahi yake,kama bollen ni mkweli.
 
Waacheni wafanye siasa.....
Afanye siasa lakini hasituingize watu wa kanda ya ziwa kwenye agenda zake binafsi za kisiasa na ukabila wake. Kwa bahati nzuri yeye ni mbunge kwanini asizungumze kwa niaba ya wananchi wa jimbo lake hadi atuhusishe wananchi wote wa kanda ya ziwa,?
 
Mbunge msukuma sisi wakazi wa kanda ya ziwa hatukukutuma na hatujawahi kukuchagua kuwa msemaji wetu kwa jambo lolote.

Sisi wazee na watu wa kanda ya ziwa hatukukutuma kusema hayo unayoita mapigo ya kumjibu Antony Diallo na kama ulikuwa na nia ya kujibu mapigo ungemjibu kwa utashi wako au kwa niaba ya wananchi wa jimbo lako la geita vijijini lakini sio kutuhusisha watu wa kanda ya ziwa kwenye maugomvi yako binafsi na kusema kwamba sisi ndio tumekutuma ukatusemee.

Sisi wazee wa kanada ya ziwa ni watu wenye busara na hekima, kama kuna jambo linaenda ndivyo sivyo tuna njia zetu za kuwasilisha maduku duku yetu ikiwemo kujisemea wenyewe na sio kutuma kijana mropokaji kama wewe.

Kuhusu kifo cha hayati magufuri unasema tuliofiwa ni watu wa kanda ya ziwa. Kimsingi hii ni kauli ya kijinga kabisa kutolewa na kiongozi wa wananchi kama wewe kwa sababu Rais magufuri hakuwa Rais wa kanda ya ziwa bali alikuwa ni Rais wa watanzania wote wa kanda za mikoa yote nchini. Sasa unaanzaje kusema kwamba tuliofiwa ni watu wa kanda ya ziwa pekee?

Huoni kama kauli yako inalenga kutugawa watu wa kanda ya ziwa na watu wa kanda zingine?

Kwa mara nyingine mbunge msukuma usituhusishe tena wazee na watu wa kanda ya ziwa kwenye ugomvi wako binafsi wa kutafuta umaarufu wa kisiasa na sifa za kishamba na UKOME kabisa kutusemea kwa sababu hata sisi tuna midomo ya kujisemea.

Message sent & delivered
Jee na wewe wamekutuma umjibu ? Wapi ulipewa jukumu lá kuwajibia? Zungumzia kivyako. Kama ambavyo wewe ungependa Msukuma azungumze kivyake.
 
Sijamkataza kufanya siasa lakini afanyie kwenye jimbo lake sisi watu wa kanda ya ziwa hatujawahi kumchagua mahali popote pale kuwa msemaji wetu. Aache kiherehere
Acha ubwege kwani kaja nyumbani kwako kukusemea Acha chuki binafsi kwani na wewe hao watu WA kanda ya ziwa wamekutuma kumzuia asiwasemee au? hakuna Sheria alovunja kusema unamzuia wewe kama nani?.
 
Mbunge msukuma sisi wakazi wa kanda ya ziwa hatukukutuma na hatujawahi kukuchagua kuwa msemaji wetu kwa jambo lolote.

Sisi wazee na watu wa kanda ya ziwa hatukukutuma kusema hayo unayoita mapigo ya kumjibu Antony Diallo na kama ulikuwa na nia ya kujibu mapigo ungemjibu kwa utashi wako au kwa niaba ya wananchi wa jimbo lako la geita vijijini lakini sio kutuhusisha watu wa kanda ya ziwa kwenye maugomvi yako binafsi na kusema kwamba sisi ndio tumekutuma ukatusemee.

Sisi wazee wa kanada ya ziwa ni watu wenye busara na hekima, kama kuna jambo linaenda ndivyo sivyo tuna njia zetu za kuwasilisha maduku duku yetu ikiwemo kujisemea wenyewe na sio kutuma kijana mropokaji kama wewe.

Kuhusu kifo cha hayati magufuri unasema tuliofiwa ni watu wa kanda ya ziwa. Kimsingi hii ni kauli ya kijinga kabisa kutolewa na kiongozi wa wananchi kama wewe kwa sababu Rais magufuri hakuwa Rais wa kanda ya ziwa bali alikuwa ni Rais wa watanzania wote wa kanda za mikoa yote nchini. Sasa unaanzaje kusema kwamba tuliofiwa ni watu wa kanda ya ziwa pekee?

Huoni kama kauli yako inalenga kutugawa watu wa kanda ya ziwa na watu wa kanda zingine?

Kwa mara nyingine mbunge msukuma usituhusishe tena wazee na watu wa kanda ya ziwa kwenye ugomvi wako binafsi wa kutafuta umaarufu wa kisiasa na sifa za kishamba na UKOME kabisa kutusemea kwa sababu hata sisi tuna midomo ya kujisemea.

Message sent & delivered
Wewe ni mjinga kweli, Mimi wkt wa msiba nilikuwa Kilimanjaro nilikuwa napewa pole kwa msiba huo kwa kuwa tu Mimi ni msukuma.....muacha mhe.kiongozi wetu J.Musukuma ampe vidonge vyake fisadi Dialo

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Alichosema mhe.ndiyo msimamo wetu Kanda ya Ziwa binafsi nilifurahi Sana mhe. Alipojitokeza kumjibu mpuuzi Dialo
Namuomba mhe.Msukuma aendelee kutusemea wasukuma kwa kuwa yeye ni mzalendo wa kweli si mnafiki

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hapa lugha yetu imeathiriwa na dunia,yaani leo hii tuanze kutumia kiswahili kwa Kila Jambo,kumbuka lungha zinazotumika kimataifa lugha kubwa mojawapo ni English,na pamoja na kutumia Kama lugha ya kujifunzia shuleni bado utapata changamoto za hapa na pale unapotafuta fursa huko kwa wenzetu ,isitoshe hata masomo tunayosoma kuanzia chekechea mengi wameandika wenzetu kwa lugha yao sisi hakuna maandiko au vitabu vilivyoandikwa kwa lugha zetu zaidi ya hizi riwaya/ hadithi za akina shigongo ,hapa tuanze kujirekebisha kwanza tuandike na vilivyopo vibadilishwe lugha,vijaribiwe hata tunaweza jipa miaka 30 ya kubadilika taratibu lakini,pia na sisi tuuze lugha yetu ,mfano angalia wenzetu lungha zao mfano kingereza ,kifaransa ,kijeruman kinauzwa yaani ili uishi kwao au kufika kwao shariti ujue lugha yao ,ila wao wakija kwetu wanalazimika kujua kingereza tuu maana lugha yao imetangulia huku.
 
Aendeshe biashara bila kulipa kodi kisa mwana ccm,akijua jpm anafaili kwa nini kwenye uteuzi hakusema na yy ni mjumbe wa vikao? odhiambo watu wanalipwa ili kumsema kijinga jpm na dialo huende kala mshiko.
Hakuna anayelipwa kumsema vibaya jpm ebu msikilize jpm mwenyewe hapa akikiri wazi kuwa yeye ni kichaa
 
Najaribu kuelewa hoja yako kuwa Musukuma yuko sawa, Diallo kakosea sana.
Nataka niwe upande wako.
Kwamba Diallo kakosea, Musukuma yuko sawa.
Musukuma anasema Diallo alikuwa Kambi ya Membe.
Musukuma anasema baada ya Uchaguzi, alifanikisha kikao cha Diallo kukutana na Magufuli.
Alifanikisha kikao hicho kwa sababu wote wawili, Magufuli na Diallo ni rafiki zake.
Baada ya Kikao hicho cha Diallo na Magufuli, tumeambiwa hapa JamiiForums na MwanaCCM Bw. Bollen Ngetti kwamba Diallo alimuita Bernard Membe aende kukutana nae, na aende na gari ya kukodi.
Bernard Membe hakwenda baada ya kupata taarifa kuwa huo ulikuwa mpango wa kumpoteza.
Kwamba Diallo kushindwa kufanikisha mpango huo, kulimuudhi sana Magufuli, ambaye aliamua Diallo apate madhira yaliyompata, ikiwa ni pamoja na kunyimwa malipo kwa kazi ya kuifanyia Kampeni CCM.
Hapa ninapata picha kuwa Mbunge Musukuma alikuwa sehemu ya kutaka kumpoteza Bernard Membe.
Na kwa kauli yake kuwa Kanda ya Ziwa ndiyo iliyofiwa baada ya Magufuli kuaga dunia, inaonyesha kuwa Ukanda ulikuwa uamuzi rasmi wa Utawala wa Magufuli ukipigiwa chapuo na watu wa aina ya Musukuma!
Siasa za Ukabila zitatufikisha wapi?
Fundimchundo siasa za mafungu ya kikanda haziwezi kutupeleka hapa naona dialo yuko tayari kufanya chochote kwa maslahi yake,kama bollen ni mkweli.
 
Ni darasa la saba lakini wenye elimu kumzidi wanaomba ajira kwake !!

Elimu ya kwenye makaratasi mmeshindwa na wasio na elimu ya makaratasi.
Kaeni nao hao darasa la saba kwa akili sana, wanawazidi mengi.
Nitajie ajira alizozitengeza Msukuma zaidi ya mabasi yake mabovu bovu!
 
Mbunge msukuma sisi wakazi wa kanda ya ziwa hatukukutuma na hatujawahi kukuchagua kuwa msemaji wetu kwa jambo lolote.

Sisi wazee na watu wa kanda ya ziwa hatukukutuma kusema hayo unayoita mapigo ya kumjibu Antony Diallo na kama ulikuwa na nia ya kujibu mapigo ungemjibu kwa utashi wako au kwa niaba ya wananchi wa jimbo lako la geita vijijini lakini sio kutuhusisha watu wa kanda ya ziwa kwenye maugomvi yako binafsi na kusema kwamba sisi ndio tumekutuma ukatusemee.

Sisi wazee wa kanada ya ziwa ni watu wenye busara na hekima, kama kuna jambo linaenda ndivyo sivyo tuna njia zetu za kuwasilisha maduku duku yetu ikiwemo kujisemea wenyewe na sio kutuma kijana mropokaji kama wewe.

Kuhusu kifo cha hayati magufuri unasema tuliofiwa ni watu wa kanda ya ziwa. Kimsingi hii ni kauli ya kijinga kabisa kutolewa na kiongozi wa wananchi kama wewe kwa sababu Rais magufuri hakuwa Rais wa kanda ya ziwa bali alikuwa ni Rais wa watanzania wote wa kanda za mikoa yote nchini. Sasa unaanzaje kusema kwamba tuliofiwa ni watu wa kanda ya ziwa pekee?

Huoni kama kauli yako inalenga kutugawa watu wa kanda ya ziwa na watu wa kanda zingine?

Kwa mara nyingine mbunge msukuma usituhusishe tena wazee na watu wa kanda ya ziwa kwenye ugomvi wako binafsi wa kutafuta umaarufu wa kisiasa na sifa za kishamba na UKOME kabisa kutusemea kwa sababu hata sisi tuna midomo ya kujisemea.

Message sent & delivered
Na wewe aliyekutuma utusemee nani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom