Recent content by kamwache

  1. K

    Godbless Lema lazima ashinde Arusha

    Mollel akishinda nakurushia 200,000 kwa aitel money
  2. K

    Kasi ya Rais Magufuli yampa wakati mgumu Godbless Lema

    sio bure hujui kiswahili, kwetu huwa hatuna r kwenye lugha yetu kwa hyo usihangaike kutetea kitu ambacho kwanza hukijui halafu pili wewe cyo mzawa wa Arusha. Fanya mambo yako Arusha CCM ilisahaulika 2010 halafu mwaka huu ndo wakaanua matanga kwa CCM.
  3. K

    Mambo matano muhimu yaliyochangia kushindwa kwa Lowassa

    ni kweli mkuu, ila kwa utawala wa ccm hata hyo katiba pendekezwa itatupiliwa mbali
  4. K

    Filikunjombe na ITV kunani?

    Huyo jamaa alishawahi kuwa mwandishi na riporter wa itv/radio one ndo maana wapo so beneat na yeye. yeye aliacha uandishi then akaingia kwenye siasa. Kwa hyo kama ITV hawana jinsi ya kulipa fadhila
  5. K

    Wasifu wa Deo Filikunjombe

    Hatunaye tena Deo. Rip Deo
  6. K

    Wolper aiaibisha UKAWA kwa mafuriko feki

    acha uhuni wewe
  7. K

    Natoa msisitizo, UKAWA yapoteza ngome yake muhimu Arusha

    jingalao Jina lako linasadifu unalo liongea. Mm nilikuwepo mkutano wa ccm na chadema, usizungumze kishabiki, mkutano wa ukawa jana, watu walio kuwepo sinon ni zaidi ya mara tatu ya waliokuwa stadium, so usijidanganye mkuu. Kwani uwanja wa sheikh Amri Abeid, walio jaza kwa sehemu kubwa ni...
  8. K

    Special thread: Kampeni za mgombea Urais wa CHADEMA/UKAWA nchi nzima kuelekea 25 Oktoba, 2015

    si kweli mkuu, ni vile ule uwanja karibu nusu unamaji. So isingeweza ku accomodate watu. Siku ile maji yote yalipanda juu kwa kiasi kikubwa. So hakuna migomba iliyopandwa ila ni kwa sababu ya hali ya uwanja
  9. K

    Heri ya Kuzaliwa Rais Jakaya M Kikwete

    sawa sawa mkuu
  10. K

    Hivi CCM wanaiteteaje TANESCO?

    Hii ni disqualification kwa CCM kwani, kila kukicha wanakuja na visingizio vipya. wamesema hadi tar 20 October, lakini kwa nijuavyo, itafika tarehe hiyo watakuja na propaganda mpya, cha nsingi tuitoe serikali ya ccm kwa sababu kwenye hili shirika ndo imekuwa kwa sehemu kubwa ndio mtaji wa...
  11. K

    Heri ya Kuzaliwa Rais Jakaya M Kikwete

    raisi wa mitoko. Raisi aliyekaa nchini miaka mitano ndani ya utawala wake
  12. K

    Heri ya Kuzaliwa Rais Jakaya M Kikwete

    Happy besdei mr president
  13. K

    Heri ya Kuzaliwa Rais Jakaya M Kikwete

    Tarehe ya kuzaliwa; 7 Oktoba 1950 (umri 64) Msoga, Tanganyika Utaifa: Mtanzania Chama: Kingine TANU Ndoa: Salma Kikwete Watoto 8 Makazi Ikulu, Dar es Salaam Mhitimu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Fani yake Mchumi Dini Uislamu
  14. K

    ITV huu sasa ni upendeleo wa wazi wazi kwenye habari zenu

    Leo siriaz nipo kwangu naangalia itv hapa leo kweli itv mmependelea ccm. Toeni haki navmuda sawa. Acheni hizo
Back
Top Bottom