Siwaelewi! Mnafurahia au mnasikitika? Kwani alipokuwa akipita akinadi M4C "Magufuli For Change" mlijua ni mabadiliko ya kuvaa mashati? Msipojitahidi kuwa na Ajenda mbadala mtaishia kudandia tu kama Kawaida yenu.
Mazwazwa, Watu kama nyie ndio mnaitia nchi hii Umaskini. Mnaorodhesha matatizo kama mpo kwenye TV mkiangalia Tamthilia. Mijitu mizima Malofa kabisa. Hakuna asiyejua matatizo ya nchi hii, tunahitaji masuluhisho, huna piga kimya.
Kituo ni nadharia, Kila sehemu palipokuwa na Uandikishaji kutakuwa na kituo zaidi ya kimoja kukidhi mahitaji ya wote waliokuwepo. Kuna maeneo waliandikisha zaidi ya siku 14 na kwa mashine zaidi ya mbili. Ikikupa Wastani wa watu 100 kwa mashine kwa siku. Unaweza kisia kwenye eneo moja kutakuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.