Recent content by Kamuabwa

  1. K

    JamiiForums Tanzania Lwakatare afutiwa mashtaka ya Ugaidi

    Mkuu usimsahau na kiongozi Zitto aliyeandika barua eti Lwaka ajiuzulu wadhifa wake ili kulinda heshima ya chama.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Galaxy II na Laptop vinauzwa

    Wakuu bado biashara iko sokoni
  3. K

    JamiiForums Tanzania Proline Laptop on sale

    Laptop PROLINE inauzwa. imetumika miezi sita bei Tshs. 500,000 Spec zake: Windows 7 Ultimate Processor: Intel (R) Pentium (R) Dual CPU T3400 @2.16 GHz 2.17 GHz RAM: 1.00GB System type: 32-bit Operating System Serious buyers wanaweza kuni PM
  4. K

    JamiiForums Tanzania Galaxy II na Laptop vinauzwa

    Mkuu hii tabia ya kudandia daladala kwa mbele umehamishia mpaka JF? Kwa nini usianzishe uzi wako
  5. K

    JamiiForums Tanzania Galaxy II na Laptop vinauzwa

    Mkuu mimi nina laptop tu. Hicho unachoulizia hakiwezi kupatikana kwangu. Nakushukuru lakini
  6. K

    JamiiForums Tanzania Galaxy II na Laptop vinauzwa

    Mkuu hii ni biashara huria. Kama ni mnunuzi utanipm unipe offer yako. Kama vipi Leka dutigite
  7. K

    JamiiForums Tanzania Galaxy II na Laptop vinauzwa

    Samsung Galaxy II (GT-19100)
  8. K

    JamiiForums Tanzania Ripoti hii ilifichwa: Chanzo cha kuporomoka Elimu Tanzania!

    Kwanza Invisible nakushukuru kwa kutuletea hii ripoti. Plili naamini mzee Pinda atakuwa hajui kama hii ripoti ilianzia ofisini kwake na ikamalizikia ofisini kwake. Tatu naomba kucha na meno yako uyaweke super glue maana wale wang'oaji hawako mbali na wewe
  9. K

    JamiiForums Tanzania Exclusive: Diamond, Uwoya wanaswa hotelini

    Hiyo ndo watu wa Kigoma wanaita LEKA DUTIGITE
  10. K

    JamiiForums Tanzania WEMA na PREZZ dating?

    aangalie tu yasije mkuta kama yaliyomkuta Goldie. wenye majina ya Prezzo ni noma
  11. K

    JamiiForums Tanzania Jamani natafuta rafiki mwandishi wa habari (Journalist)!.

    wa bahasha za kaki
  12. K

    JamiiForums Tanzania Wema Sepetu amfikisha polisi mama yake baada ya kumfanyia vurugu nyumbani

    Tatizo hawezi kutokea kwa mwanaye. Aliakiwa aende akalale japo na wasanii kama bambo hivi ndo atoke kiurahisi
  13. K

    JamiiForums Tanzania Galaxy II na Laptop vinauzwa

    Wakuu nauza Samsung Galaxy II. imetumika kwa miezi saba. Bei Tshs 600,000 Pia laptop PROLINE inauzwa. imetumika miezi sita bei Tshs. 500,000 Spec zake: Windows 7 Ultimate Processor: Intel (R) Pentium (R) Dual CPU T3400 @2.16 GHz 2.17 GHz RAM: 1.00GB System type: 32-bit Operating System Serious...
Back
Top Bottom