Recent content by kamtupeni

  1. K

    Nianze vipi kufanya biashara ya usafirishaji?

    Nifanyeje ili niweze kuanza biashara ya usafirishaji (cago) nikiwa sina gari kutoka Dar es Salaam kwenda mikoani.
  2. K

    Pharmacy business

    Nipo morogoro
  3. K

    Pharmacy business

    Natafuta sehemu ambazo nitanunua dawa kwa bei ambayo nitauza kwa bei ya jumla na pia kwa rejareja ila nipate faida nzuri. Na pia natafuta sehemu ambayo nitapata vipodozi ambapo wale wanaouza jumla Kariakoo hununua .
  4. K

    Biashara ya kukodisha turubai

    Vitu gani muhimu kuzingatia Kwenye biashara ya turubai?.
  5. K

    Afya ya Mtanzania Iko Mikononi mwa Nani?

    Habari ndugu wanajukwa hili. Nitangulie kwa kusema kuwa afya ya kila mmoja wetu ndiyo kipaumbele katika wakati wote tukiwa hai. Sasa Afya hiyo kwa Mtanzania Iko Mikononi mwa nani? Je wataalamu wa Afya? Je wanasiasa? Je Viongozi wa dini? Je ni watu wa mtaani? Au Mtu mwenyewe? Tuliona changamoto...
  6. K

    Biashara ya mifuko ya viroba, ukubwa wa debe 6 na kuendelea

    Ndugu zangu, Naomba kujua wapi naweza pata mifuko hiyo kwa bei ya jumla kuanzia pic 1000. Aina kama inavyo onekana kwenye picha, kwa Dar es salaam, wapi inazalishwa au kuuzwa jumla.Asanteni. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. K

    Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    Wapi umepata eneo ,na unakadiria kutumia sh ngapi?
Back
Top Bottom