Recent content by kamsi kilelo

  1. K

    Umoja wa Ulaya wanataka kuandika upya sheria za Tanzania?

    Ukikubali amri na vitisho, kubali kuwa mtumwa, ukikataa amri na vitisho jipange kusimama mwenyewe. Chaguo ni letu!
  2. K

    Tetesi: Ubalozi wa Misri kwa kushirikiana na Wizara ya Mambo ya Nje kuandaa sherehe ya kupongezana itayobeba kauli mbiu, 'Afrika tukiamua tunaweza'

    Kuna taarifa nimezipata kutoka kwa mdau magogoni kwamba, Ubalozi wa Misri kwa kushirikiana na wizara ya mambo ya nje wamendaa sherehe itakayowajumuisha wawakilishi wa nchi mbalimbali barani afrika kwa ajili ya kujipongezana juu ya makubaliano ya ujenzi wa mradi wa Stiglers Gorge baina yao...
  3. K

    Zitto Kabwe: Nikiwa Rais, Watanzania watachapa kazi lakini kula bata pia

    Siasa za Zitto zenyewe za kishamba tu, tangu akiwa Chadema amekuwa na siasa za kujikombakomba, kujionesha onesha, kusalitisaliti tu, hizi ni siasa za kishamba sana. Katika kujifanya mzalendo, Zitto amekuwa mshambamshamba tu, amekuwa mtu wa kuzitishiatishia Taasisi za Umma ili zimhonge...
  4. K

    Tuhuma dhidi ya Membe: Bashiru hajakurupuka, kuna ukweli

    Inamaana hujui hii kazi ya kumuongelea anairatibu yeye mwenyewe Membe? You cant be serious!
  5. K

    Tuhuma dhidi ya Membe: Bashiru hajakurupuka, kuna ukweli

    Hamna jipya magufuli anajua ukweli wenu na harakati zenu za kumgombanisha na kipilimba ili mpate upenyo. Shidah kubwa inayowatesa ni kutaka kumgombanisha na kipilimba kwa sababu mnajua ubora wake hamtopata nafasi. This mission failed!
  6. K

    Rais Uhuru Kenyata wa Jamhuri ya Kenya kufanya ziara rasmi nchini Tanzania February 2019

    Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Mh John Joseph Pombe Magufuli, amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya kenya Mh Uhuru Kenyata atafanya ziara rasmi nchini Tanzania Mwezi February 2019, Rais Magufuli ametoa taarifa hiyo katika ufunguzi wa kitua cha idara ya forodha ya pamoja (Kenya na Tanzania)...
  7. K

    Rais Magufuli ameahirisha maadhimisho ya siku ya Uhuru 2018, ataka fedha zilizotengwa zitumike kujenga hospitali mkoani Dodoma

    Wadau sherehe vs ujenzi wa hospitali hii imekaaje? Nafuatilia eneo la ujenzi wa hospitali hiyo kwa taarifa Zaidi!
  8. K

    Haikuwa sahihi msaada wa Rais kwa Ruge kutangazwa kwa umma

    Kwa sababu hili ndilo lingekupendeza wewe
  9. K

    Umoja wa Ulaya(EU) watoa tamko kuhusu mahusiano yake na Tanzania; kupitia upya sera zake nchini

    Haya bhana, mambo ni mengi mie hata sielewi, hivi mzee kalonzo bado yupogo?
  10. K

    Utafiti: USD inatarajiwa kupanda kwa 1USD kuuzwa 2500. Wenye Bureau de Change waamua kushikilia fedha hadi USD ipande

    Huu utafiti wako umefuata taratibu au umekurupuka toka nlipokuacha umelala?
  11. K

    Godbless Lema: Bado wavulana wawili ambao ni Mameya wataondoka na kijana mmoja, tubaki wanaume

    ameota kama kawaida! shekh hussein yahya wa chadema
  12. K

    Masha, Mkumbo, Mwigamba, Albert Msando na Katambi Mwenyekiti BAVICHA, wajiunga CCM

    sizitaki mbichi hizi! maneno ya sungurao_O
  13. K

    Dr. Bashiru Ally: Ni wanasiasa uchwara pekee ndio uhama-hama vyama!

    Hata mimi naona kabisa Akina nyalandu, lowasa , sumaye hawa ni wanasiasa uchwara kabisa wanachotaka ni cheo hasa lowasa anataka urais
  14. K

    Makinikia: Tukilipwa Mil.500 badala ya Trl. 425 kuna watu watashangilia

    ina inaonekana ushaharibika kwa kujitia madole na kujinusa, Tendo limekukaa mpaka unatutangazia? pole bwanyanya
  15. K

    Makinikia: Tukilipwa Mil.500 badala ya Trl. 425 kuna watu watashangilia

    kilaza wewe! acha povu! umeumia sana eeeeh! kamtembelee lisu kilaza mwenzio muanzishe jingine
Back
Top Bottom