Dr. Bashiru Ally: Ni wanasiasa uchwara pekee ndio uhama-hama vyama!

Dr. Bashiru Ally: Ni wanasiasa uchwara pekee ndio uhama-hama vyama!

nyalandu, el, kingunge, lowasa, masha et al
 
Akizungumza DW mchana huu, Dr Bashiru Ally anesema mwanasiasa makini hupigania chama chake hadi dakika ya mwisho ila wa asiasa uchwara na aapenda vyeo uhama-hama...

Asante Dr Bashiru maalimu wangu.
Hata mimi naona kabisa Akina nyalandu, lowasa , sumaye hawa ni wanasiasa uchwara kabisa wanachotaka ni cheo hasa lowasa anataka urais
 
Anayo haki kama mchambuzi kusema hayo na ni ukweli kuwa miongoni mwao wapo hivyo ingawa sio wote. Opportunists siku zote wapo na wataendelea kuwepo.

Ikumbukwe kuwa hata Nyerere aliwahi kutishia kujitoa CCM ingawa yeye ni mwanzilishi. Naye ni mwanasiasa uchwara? Alikuwa anasaka madaraka?

Vv
 
Pamoja na yote Mbowe ajitathmini, CCM walichofanya leo imekiongezea credit wakati kwa upinzani kuna effect mbaya.

Mbowe akubali ushauri kama mwenyekiti mwenzake wa CCM
 
Hivi anayehama upinzani kwenda chama tawala na anayehama chama tawala kwenda upinzani nani anafanya hivyo kwa njaa zake?
 
Anayo haki kama mchambuzi kusema hayo na ni ukweli kuwa miongoni mwao wapo hivyo ingawa sio wote. Opportunists siku zote wapo na wataendelea kuwepo.

Ikumbukwe kuwa hata Nyerere aliwahi kutishia kujitoa CCM ingawa yeye ni mwanzilishi. Naye ni mwanasiasa uchwara? Alikuwa anasaka madaraka?

Vv
We jamaa umeandika vema sana. Kundi la Leo wote ni wasaka tonge

Sent from my VFD 500 using JamiiForums mobile app
 
Akizungumza DW mchana huu, Dr Bashiru Ally anesema mwanasiasa makini hupigania chama chake hadi dakika ya mwisho ila wa asiasa uchwara na aapenda vyeo uhama-hama...

Asante Dr Bashiru maalimu wangu.
Hayuko sahihi bashiru, maana chama cha siasa ni itikadi na kama unayoyapigania au kuyaamini hayafwatwi bac ruksa kuhama.
 
huyu naye mbona alikua anachanganya siasa na Taaluma
kazi kupuyanga puyanga kuwasifia Magamba
mpaka sasa wamempa utatibu mkuu
 
Hiyo kauli ina pande mbili; yaani ni kweli na si kweli hivyo yapaswa kutumiwa kwa uangalifu sana.
 
Back
Top Bottom