Papaa Muu
JF-Expert Member
- Nov 6, 2018
- 243
- 292
Na Mwanaharakati huru
Tamko la Bunge la umoja wa nchi Ulaya (EU) linaingilia mambo ya ndani ya nchi na kudhoofisha Sovereignty ya Tanzania.
Bunge la Umoja wa Ulaya katika tamko lake,linaitaka nchi ya Tanzania ifute sheria inayokataza vitendo vya ushoga na mapenzi ya jinsia moja ili kuwapa wananchi wake kinachoitwa 'uhuru' wa kushiriki mapenzi kinyume na maumbile bila kushtakiwa.
Tanzania ni sovereign state.Kitendo cha Umoja wa Ulaya kutaka nchi huru ifute sheria zake ni kujaribu kuidhoofisha nchi na kuingilia uhuru wake.Tanzania kama nchi huru haitafaa kuongozwa kwa mapenzi ya nchi za ulaya.Tuwe tayari kwa athari zozote lakini tuendelee kuwa nchi huru.
Ni dharau kwa taifa letu kuambiwa nchi na nyingine "futeni sheria fulani za nchi yenu"
Tamko la bunge la umoja wa ulaya linalenga kuidhoofisha Tanzania.
Umoja wa ulaya wanafanya haya kwa sababu ya misaada yao kwa Tanzania.Tanzania isije ikapiga magoti mbele ya nchi za umoja wa Ulaya.Itakuwa ni ujinga Ku undermine our sovereignty in exchange of Western AIDS.
Tanzania isimame imara kama wakati wa utawala wa hayati Julius Nyerere kuhusu suala la Zimbabwe na Afrika ya kusini na kile kipindi cha Vita baridi.
Mwl. Nyerere alichagua kutofautiana na nchi za ulaya ili kulinda Uhuru wa Tanzania.
Ni bora kutofautiana na EU kuliko kupiga magoti mbele ya nchi za Ulaya kwa ajili ya misaada kwa gharama ya kufuta sheria zetu ili kuruhusu tabia za kishenzi.
Mwanaharakati.