Recent content by KAMP2015

  1. K

    JamiiForums Tanzania YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Mzee namwon dhamira haiko na mwili, waliwahi mwambia umezeeka na kumpiga pale katika mdahalo! Lazima ajishtukie
  2. K

    JamiiForums Tanzania Hatari ya kuwagawanya watanzania kutoka kwa wapiga kampeni wa CCM

    Nimeona mtu akisema ukawa Wanaleta ukaskazini amesahau kwamba mtoto wa Kikwete alisema rais hawezi toka kanda ya kaskaazini! Hii ni ajabu sana watu wanaeneza chuki kiasi hiki
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Monduli ajiuzulu!

    Hana jipya huyo tunamjua vizuri
  4. K

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole on Star TV: Hama Hama katika Vyama, ni kwa Maslahi ya Nani?

    Huyu jamaa ni lazima atakuwa amelipwa, shame on you polepole
  5. K

    JamiiForums Tanzania Magufuli: Subirini ushindi wa Tsunami

    Kazi mnayo ccm safari hii mtaimba kila wimbo! Mpaka mjinyee
  6. K

    JamiiForums Tanzania Magufuli: Subirini ushindi wa Tsunami

    Ndugu wana-jf, Kama mnakumbuka kipindi fulan ccm walisema sana watarejesha majimbo yote, ila sasa hivi hatuwasikii tena wakilisema tena! Vp hii imekaaje?
  7. K

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole on Star TV: Hama Hama katika Vyama, ni kwa Maslahi ya Nani?

    Anaongea mchakato wa ccm utafikir yeye ndo alikuwa mwenyekit ww Mkutano! Huyu jamaa ni fara mpak basi sasa hivi kajibadilisha kutoka uanaharakat hadi mwananchi wa kawaida, shame on him!!!
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kikwete na Nape Nnauye, laana ya kushusha hadhi ya CCM itawatembelea milele

    Hata cku akiondoka prof mwandosya mtasema ni fisadi, kweli ckio la kufa halisikii dawa! Go to hell ccm rest in fire for ever!
  9. K

    JamiiForums Tanzania Urejeshaji wa Fomu za wagombea Urais, Ofisi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi

    Huyo asindikize tu ila rais lowasa
  10. K

    JamiiForums Tanzania Ufoo Saro, kwanini uteseke na kuumia tu moyoni?

    UKAWA utaipenda tu!
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kero: TBC hamtutendei haki wananchi

    Hata me nimeona hii ni aibu kubwa sana kwa chombo cha taifa to hell tbccm
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa Arusha ahaha kumnusuru Ezekiel Mollel

    Ndo kwanza tunatafuta jiwe la tani 1000 ili tukifungie shingoni kisha tulitupe ziwa tanganyika! Upo hapo?
  13. K

    JamiiForums Tanzania UKAWA+TANESCO lazima kieleweke October 25

    CCM wanazidi kuamsha hasira za watz
  14. K

    JamiiForums Tanzania Prof. Ibrahim Lipumba atangaza kujiuzulu nafasi ya Uenyekiti wa CUF Taifa

    Mtu wangu umetisha mpaka bac
  15. K

    JamiiForums Tanzania Prof. Ibrahim Lipumba atangaza kujiuzulu nafasi ya Uenyekiti wa CUF Taifa

    Possible! Ni ukweli usiopingika kuwa lipumba hata ndani ya chama chake hakubaliki kwa sasa
Back
Top Bottom