Wadau na wananchi hii ya Tanzania, leo shetani ameshndwa akiwa na majeshi yake yote, alijaribu kuwatesa watu wema kama watamkufuru Mungu akashindwa, akaanzisha zali la kuwafungulia mashitaka ya uongo km la Prof. Mahalu hapo akala mafumbi kama alivyoamuriwa tokea zamani, sasa wakati wake wa...