Recent content by Kamkunji

  1. K

    Ni kweli kwamba Profesa Janabi hajawahi kusomea wala kuwa Daktari Bingwa wa Moyo?

    hoja hujibiwa kwa hoja, (maneno meeengi, mnamaliza miti tu".)
  2. K

    Hakuna umuhimu wa kuoa mke mfanyakazi. Labda kwa waliofeli maisha wafanye hivyo wasije kufa njaa

    kinachouma zaidi siyo yeye kuliwa, bali kusakiziwa na kulea matoto ambayo siyo yako, lakini msemo wako kuoa mfanyakazi hiyo ni balaa na nusu, hakuna taasisi yoyote ambayo hawakulani, swali ni je hakuna wake za watu humo, tafakari chukua hatua
  3. K

    Shilingi ya Tanzania itaimarika lini dhidi ya Kenya shilingi (KES) au Dollar ?

    huna akili ya ulichokiandika, kaa hapo utulie, ndiyo maana ukajiita Mtamba chuo,
  4. K

    Shilingi ya Tanzania itaimarika lini dhidi ya Kenya shilingi (KES) au Dollar ?

    Mkuu hapa Nairobi maisha ni ghali sana, japo kwa hapa ni 1ksh = 23.9 Tsh, Tusker na Balozi ni 8500 yaani 350, mashenzini bei ya mwisho 230ksh, imported 500ksh, mwaka juzi niliwahi kupita hapa 1ksh = 16Tsh, sasa sijui ni uchumi wetu ndiyo unakua lakini nikuthibitishie, mtanzania mlevi wa bia tu...
  5. K

    Ally Hapi atelekeza shamba lake, ni baada ya kupata teuzi, vibarua walia njaa

    mimi niwe mkuu wa mkoa wa Mara, Barrick-Nyamongo hawa hapa, nitafute namba ya GM(Apollo), niwe naenda ku-visit kila weekend napewa bahasha, bado mikwara mbuzi, niongezewe bahasha, halafu nikalime wakati pesa nilikua nadownload , weeee thubutu Leo hapo Geita tu, kuna watu wamepata mtaji wa kula...
  6. K

    Mshahara wa Dkt. Ndugulile akishaanza kazi WHO ni noma. Rais wa India akasome

    Nendeni tu baadhi ya balozi za nchi ya kusadikika muone namna hata officers wa kawaida wanavyokunja dolari na wamekaa wanazungusha viti tu maofisini. Mfano, unajua yule binti mrembo wa Geneva analipwa ngapi..?, na wengine wengi tu Hiyo hela inakua kubwa ukilinganisha na mishahara na maisha ya...
  7. K

    Ghana nako si salama, AU ingilieni kati

    Karibu Accra, niko hapa Osu nakula upepo, baade nirudi hapo mitaa ya Spintex. unashangaa hapa Accra wakati hapo Nairobi jirani na home mambo ni live live, nikirudi mitaa ya KaNairo nitakutumia video zao hao wasenge, ni vile tu we should learn to live with different ethnic groups lakini hao...
  8. K

    Kuna mbinu za makusudi za kuiua Serengeti ya Tanzania na Masai Mara ya Kenya ili kukuza Dubai Safari Park kwa ajili ya utalii wa wanyama wa porini?

    mkuu hoja yako ni ya msingi, kukukumbusha tu hili suala halijaanza leo wala jana, kuna wakati kulikua mpaka na mkono wa CDF mmoja hivi, lakini usijali suala hili halitakua na mwisho mwema. Tamaa ya pesa haiwezi kutufanya kama taifa tukakengeuka, kama ni madini hatujaanza kuchimba leo.
  9. K

    DOKEZO Mtanzania huyu alikuja Marekani kusoma, akapata changamoto ya Akili, sasa hivi anaishi Mtaani, anahitaji msaada

    ni kweli baadhi ya balozi zina changamoto kubwa, lakini si zote, litafanyiwa kazi, japo limeleta aibu kubwa sana.
  10. K

    Internet Outage: Unatumia mtandao gani wenye nafuu kwenye hili janga?

    mpo bongo bahati mbaya tu, karibu ulaya😀
  11. K

    Kubezwa kwangu kulinipunguzia presha nikawa mshindi vipindi vyote

    Tangu nianze kusoma nyuzi humu, nimejuta kusoma uzi huu, kuandika umri kabla ya yote ni suala la msingi sana.
  12. K

    Buguruni kunalemaza sana wakuu, hebu angalia nguvu ya 500!

    Nasubiri atakayemsimulia yule bubu mwingine wa Mwanza, enzi hizo nimeenda kikazi huko nikaenda kiwanja sijui kinaitwa Diamond na mshikaji, zimekolea nikabeba bubu kwa ushauri wa mshikaji wangu, yeye akabeba mwenzake na bubu ila siyo bubu, weeh, Whiskey ile na moto niliompelekea bubu nilishtushwa...
  13. K

    TAKUKURU fuatilieni malipo ya wanafunzi wanaofadhiliwa na Wizara pale Wizara ya Afya

    Nimepata taarifa kutoka kwa madogo ninaowaamini kua pale wizara ya Afya wale watu wanaohusika kuwalipa wanafunzi waliopata ufadhili wa mama Samia kusoma nje ya nchi wanawalaghai wanafunzi hao. Mchezo uko hivi, kwanza inaonekana toka wanafunzi hao wajiunge na masomo yao mwaka jana mpaka sasa...
Back
Top Bottom