Recent content by kamikaze

  1. K

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu tunalipwa mshahara sawa lakini ananilazimisha nimkopeshe hela kisa mimi sina majukumu

    Sijasimulia ndugu yangu. Nimeomba ushauri tu
  2. K

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu tunalipwa mshahara sawa lakini ananilazimisha nimkopeshe hela kisa mimi sina majukumu

    Rafiki yangu tumetoka naye mbali
  3. K

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu tunalipwa mshahara sawa lakini ananilazimisha nimkopeshe hela kisa mimi sina majukumu

    Nina Mtu ninayeweza kumuita ni rafiki yangu, lakini natamani kwa sasa hata kupunguza urafiki naye kwani ni kama anakua kero. Yeye ana mtoto japo hana ndoa, mimi sina mtoto wala ndoa pia. Tunafanya kazi yenye kipato cha kati, mimi nimeridhika na hali yangu kiuchumi kwa kweli. Na ninajitosheleza...
  4. K

    JamiiForums Tanzania TRA: Tunahitaji ajira zenye Uwazi kama Utumishi sio figisufigisu!

    ulipata usumbufu gani mkuu TRA? Ni kwenye oral ama written
  5. K

    JamiiForums Tanzania TRA: Tunahitaji ajira zenye Uwazi kama Utumishi sio figisufigisu!

    Dah yani TRa wanazingua. Na km nafasi ni chache basi wasingeweka hilo tangazo la database. Maana tulisha let go sasa wameamsha hopes zetu. Na ndio wanafanya vitu kimya kimya. Bora hata walitoe lile tangazo kwenye portal tujue mchakato umeisha.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Oral moja tu na placement hapo hapo. Kuna watu Wana bahati zao aise
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Hongera zake. Na sisi siku yetu ipo ma jobless tuliobaki Mungu akipenda
  8. K

    JamiiForums Tanzania TRA: Tunahitaji ajira zenye Uwazi kama Utumishi sio figisufigisu!

    Kwa hiyo ndo basi kanzi data tusiwe na hopes tena
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Hahaha waanze tu
  10. K

    JamiiForums Tanzania TRA: Tunahitaji ajira zenye Uwazi kama Utumishi sio figisufigisu!

    Aah sitafanya tena interview zao. Usiri mwingi. Bora ajira portal
  11. K

    JamiiForums Tanzania TRA: Tunahitaji ajira zenye Uwazi kama Utumishi sio figisufigisu!

    Sidhani km wataitisha interview kubwa vile kila mwaka.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    La TRA kanzi data nayo ndo basi hadi awamu nyingine?
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Dah Mimi nimelokiwa eti wrong password
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Jipe moyo mkuu huwezi jua
  15. K

    JamiiForums Tanzania TRA: Tunahitaji ajira zenye Uwazi kama Utumishi sio figisufigisu!

    Sijakuelewa ulivosema hao 200 ni wengi sana. Yani ndo mchakato wa data base umeisha ama. Nachoka kuwaza
Back
Top Bottom