Mr. Manongi anatakiwa ajue kila chenye mwanzo hakikosi mwisho, mwisho wako umefika unang'ang'ania kitu gani? unatembea mikoani na gali la serikali uoni aibu ? Mwenzako alostaff bwana DSR umetuma watu wakachue vitambulisho na baadhi ya vitu vya ofisi, nafasi yako ni Mkataba na sio mwajiliwa wa...
Mwanzoni nilikuwa nafikiria wengi wa watumishi katika Mamlaka ya Usafiri wa Anga wanamuonea huyu Mkurugenzi wetu Mkuu Bwana Fadhili Josia Manongi kwa kusema hajui kazi na anaendesha mamlaka kwa majungu. Sasa nimeamini hilo kwa matukio yafuatayo;
1. Amekuwa akifanya kazi kwa majungu ambayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.