wahenga walisema Vita ya kunguru furaha ya panzi.leo ilikuwa siku inayosubiliwa kwa hamu na kila mtu udsm,wengine waliyatalajia yaliyotoke kwa kuzingatia uchaguzi uliotanguria (CASS) wakati wajumbe wa tume ya uchaguzi walipoamua kumbadilisha mgombea wa nafasi ya uenyekiti akagombee ubunge nawa...
lowasa amezihirisha yeye pekee ndio mtu mwenye nguvu kubwa kuliko wote ndani ya chama cha mapinduzi,hii inzidi kujiziirisha baada ya kila mchezo wa fitina anao shiriki kushinda kwa hasirimia zaidi ya 60%,tumeshuhudia kwenye kamati mbalil mbali za bunge,uteuzi wa mabalozi wa nchi.na sasa ameamua...
Mh lowasa alishaeleza sababu za yeye kujiuzuru na kuitwa FISADI,kuwa ni uraisi 2015,kila mtu hilo analielewa .lowasa leo jioni akihojiwa na bbc amethibitisha bado ana nia thabiti ya kuwaongoza watanzaniaa katika kipindi hiki kigumu na kuwakwamua katika maisha magumu.aliongeza ni haki yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.