Lowassa atia fitina uchaguzi DARUSO (UDSM) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lowassa atia fitina uchaguzi DARUSO (UDSM)

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by KAMBONA, Jun 10, 2011.

 1. KAMBONA

  KAMBONA New Member

  #1
  Jun 10, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  lowasa amezihirisha yeye pekee ndio mtu mwenye nguvu kubwa kuliko wote ndani ya chama cha mapinduzi,hii inzidi kujiziirisha baada ya kila mchezo wa fitina anao shiriki kushinda kwa hasirimia zaidi ya 60%,tumeshuhudia kwenye kamati mbalil mbali za bunge,uteuzi wa mabalozi wa nchi.na sasa ameamua kuingia ndani ya uchaguzi wa daruso akiwa na ma Freemasonry watatu kijana wake kipenzi aliye mludisha kambini NAPE NNAUYE,SALUMU ALLY HAPPY na MATHIUS SAIMON KIPARA.hawa ni baadhi ya vijana 40 wa"EDLLE BOYS",ambao atafanya nao kazi ya kuingia ikulu 2015,tayari vijana wake wamekutana na" DARUSO BOARD"kila mjumbe kulamba milion 2,wameshatia mkono kuhakikisha akuna hata kijana mmoja asiyekuwa kada kupita kwenda kupigiwa kura,tayari tumeshuhudia mhanga wa kwanza kutolewa bila hata kuhojiwa bwana LISU,na wamehaidi kuiteka TAHLISO kuiweka chini ya EDDLE kabla ya vijana wake kumalizia UVCCM.MUNGU mbaliki LOWASA,mungu ibaliki TANZANIA.
   
 2. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #2
  Jun 10, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Mpelekee salamu Nape. Mwambie EL akitoka huko anaingia sektarieti ya chama naye atakuwa hana tena kazi. Atarudi kwa bwanawake Mengi kuendeleza libeneke.
   
 3. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #3
  Jun 10, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  usijali it is Kikwete for presidency 2015
   
 4. M

  MPG JF-Expert Member

  #4
  Jun 10, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 483
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwambie NAPE anawaza kwa kutumia makamasi
   
 5. Maarko

  Maarko JF-Expert Member

  #5
  Jun 10, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,030
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Nape wewe ulitoroka ccj rudi.
   
 6. samirnasri

  samirnasri JF-Expert Member

  #6
  Jun 10, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  pumba tupu.
   
 7. NgumiJiwe

  NgumiJiwe JF-Expert Member

  #7
  Jun 10, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  degree za UDSM ndipo zilipofikia hapa siku hizi?
   
 8. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #8
  Jun 10, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,816
  Likes Received: 10,106
  Trophy Points: 280
  Duh, mzee una matatizo ya uandishi au uliandika wakati unafukuzwa? Hebu nenda kwa Mzee Mweteni au Kibogoya hapo chuoni kama bado wapo wakufundishe Communication skills, ok, message imefika kwa wakati hao ndio CCM
   
 9. k

  kusisimba Member

  #9
  Jun 10, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mbona hizo ni siasa za maji taka? nape anatakiwa kuendelea na ccj yake.
   
 10. m

  moshijeff Senior Member

  #10
  Jun 10, 2011
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ebana MPG upo sawa kabisa mkubwa, huyu nepi si kichaa? au amepona?
   
 11. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #11
  Jun 10, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,025
  Likes Received: 3,051
  Trophy Points: 280
  '11-'15 ccm mtanyea debe
   
 12. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #12
  Jun 10, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,143
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  we uliziachaje? Changamoto za magamba hukuziacha? Au ulisoma kipindi kile chama kimeshika atamu?
   
 13. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #13
  Jun 10, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,970
  Likes Received: 664
  Trophy Points: 280
  Mkuu tumepata ujumbe ila inaonekana kabisa wewe siyo raia wa nchi yetu umetokea Somalia au wapi? hebu angalia kwenye red kwani kama kiswahili cha kuandika kinakuwia kigumu hivi basi utakuwa unaongea kihindi bana dogo. Hapa hujaitendea haki lugha yetu adhimu ya kiswahili mkuu.

  Zaidi sana unaonekana kama Mamluki wa Lowassa na utakuwa wewe hujavuliwa bahari lazima utakuwa imevuliwa kwenye vidimbwi vya maji ya mvua au mabwawa ya maji taka kwa sababu mambo yako tata veve!!!!!!!!!!!.
   
Loading...