Recent content by kambiyamkaa

  1. K

    JamiiForums Tanzania Baba Askofu Munga: Je, Askofu Mwamakula ni mfia imani na shujaa?

    MUNGU yupo nyuma ya Baba Askofu Mwamakula ! Watanzania Wote tupo pamoja naye Wakati wote .
  2. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amuapisha Jaji Zephrine Galeba kuwa jaji wa mahakama ya Rufaa

    Watanzania tuzidi Sana kumuombea Mheshimiwa Rais Magufuli,! Tamko lake la kuiomba Idara ya Mahakama kwamba Kesi zote , na kwa ngazi zote za Mahakama ziendeshwe kwa lugha ya Kiswahili na Hukumu kuandikwa Kiswahili , Watanzania tumuunge mkono Mheshimiwa Magufuli na kumpongeza Sana !
  3. K

    JamiiForums Tanzania Nimeumia sana na jinsi hali ya kisiasa inavyoendelea hapa nchini

    Ahsante !
  4. K

    JamiiForums Tanzania Baada ya Humphrey Polepole kuteuliwa kuwa Mbunge. Je, nani kuchukua nafasi ya Katibu wa Itikadi na Uenezi ndani ya CCM?

    Naomba mawazo yenu. Wakati joto likizidi kupanda kwamba ni Mbunge gani ataukwaa Uwaziri baada ya uteuzi uliofanywa Jana na Rais Magufuli kwa kumteua Hamfrey Polepole na hivyo kuongeza joto na pressure zaidi ya Baraza la Mawaziri, hebu tutupitie jicho nafasi aliyokuwa akiishikilia Polepole...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Baada ya Humphrey Polepole kuteuliwa kuwa Mbunge. Je, nani kuchukua nafasi ya Katibu wa Itikadi na Uenezi ndani ya CCM?

    Kwa mtazamo wangu, natabiri Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli atamteua David Kafulila kuchukua nafasi ya Bw Hamfrey Polepole ya Katibu wa Itikadi na Uenezi Taifa. Na ndivyo itakavyokuwa muda si mrefu kutokea sasa! Ni Kafulila tu...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Hatukuwapa kura ili mkaendelee kushibisha matumbo yenu bali msimame kidete kutetea haki na uhuru wa kweli. Kwa hili hamvumiliki!

    Hii ni kauli ya Mbowe kweli kwenye hii twitter !???
  7. K

    JamiiForums Tanzania Hatukuwapa kura ili mkaendelee kushibisha matumbo yenu bali msimame kidete kutetea haki na uhuru wa kweli. Kwa hili hamvumiliki!

    Lazima Chama kimuondoe haraka Sana Halima !!! Usaliti huu ni mkubwa Sana kwa Watanzania !!!! CHADEMA sio Chama cha Mchezo mchezo tu ! Ni Taasisi kubwa Sana iliyobeba mioyo ya Watanzania .
  8. K

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Twaha Mwaipaya, Mratibu wa Uhamasishaji BAVICHA Taifa baada ya kutoka gerezani

    Pole Sana Kamanda ! BWANA akutie Nguvu Ndugu yangu . Nafahamu , tupo mwisho mwisho kabisa wa dunia ! Yeye ajaye Kristo Yesu yupo Karibu Sana ! Na ndio itakuwa mwisho wa mateso na manyanyaso yote hapa duniani !
  9. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mnyika: Sakata la Wabunge wa Viti Maalum limehusisha mfumo wa Serikali kufifisha ajenda ya 'Uchaguzi haramu'. Ahoji Nusrat kuteuliwa akiwa gerezani

    Nawapongeza Sana , Sana CHADEMA kwa Tamko hili ! MUNGU awabariki Sana !
  10. K

    JamiiForums Tanzania Je, Kati ya Halima Mdee na John Mnyika nani mkweli sakata la Wabunge wa Viti Maalum?

    Ni kweli Mheshimiwa unachozungumza .
  11. K

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Juu wa CHADEMA kuongea na Wanahabari Novemba 25, 2020 Makao Makuu ya Chama, Kinondoni

    Ndugu zangu Watanzania, Jana Tanzania kwa mara nyingine tena tumeshtushwa Sana kushuhudia tukio la ghafla Sana ambalo hatukulitarajia kuwa lingetokea na hususani kwa wakati kama huu ambao bado wapo kwenye tafakuri kwa kilichotokea Oktoba 28 !!! Tukiwa bado kabisa hatuamini kilichotokea Oktoba...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Watanzania mlichomfanyia Tundu Lissu ''Mungu'' anawaona!

    Mwizi mkubwa wewe wa Kura !!!!!!
  13. K

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe amwandikia barua IGP Sirro

    Upo sahihi Mheshimiwa ! Nakuunga mkono Kamanda .
Back
Top Bottom