Recent content by kambalemzee94

  1. K

    JamiiForums Tanzania Muongozo na ushauri kwa wanafunzi waliopokea matokeo ya kidato cha nne 2018

    Comb haijabalance je anaweza kwenda advance?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Muongozo na ushauri kwa wanafunzi waliopokea matokeo ya kidato cha nne 2018

    Kwa matokeo hayo ya sasa unaenda advance private HKL itakuhusu,hata HGL .HGK coz hupangiw comb kikubwa una credit tatu,umeeelewaaaaaa
  3. K

    JamiiForums Tanzania Muongozo na ushauri kwa wanafunzi waliopokea matokeo ya kidato cha nne 2018

    Mdogo angu kahitim kidato cha nne na matokeo take ni division 3 ya 25 , ana Credit 3 imean C C C ila comb haijabalance, je kuna possibility ya kupata post ya kwenda advance? Karibuni
  4. K

    JamiiForums Tanzania Blog

    Nahitaji kufungua blog, watakamu wa blogs naombeni ushauri wenu,blog yangu ijihusishe na habar zip? Mfano sport au mchanganyiko. Karibun wataalamu
  5. K

    JamiiForums Tanzania HGL; Kozi gani naweza kusoma?

    Nimesoma combination ya HGL. Ni kozi gani naweza soma? Ambazo ni nzuri Kwa maisha haya ya Tanzania
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ipi ni beting nzur kupiga pesa
Back
Top Bottom