Recent content by Kambale1

  1. K

    Msaada kupeleka rufaa kwa Rais

    Habari, Naomba msaada/Muongozo jinsi ya kufikisha rufaa kwa Rais. Nilipeleka rufaa tume ya utumishi wakaikataa, zaidi nimeongezewa kosa ambalo silitambui. Na Mwajiri hakufuata kanuni za Utumishi, niliweka hayo malalamiko kwenye rufaa ya mwanzo ila hawajajibu wameconclude kuwa adhabu...
  2. K

    Msaada Kesi yangu ya Ajira Utumishi wa Umma

    Utetezi wangu niliwasilisha,sijawahi kupewa barua ya onyo wala adhabu ya aina yoyote kwa miaka nane. Kosa ni kushushia hadhi utumishi wa umma Mkurugenzi akaamua kunifukuza
  3. K

    Msaada Kesi yangu ya Ajira Utumishi wa Umma

    Habari, Naomba ushauri kwenye jambo hili ambalo nahisi kuonewa. Nilikua mtumishi wa umma kwa miaka nane. Nimemtumikia mwajiri wangu kwa miaka nane. Mwaka jana nilipata changamoto nikawa na kesi ya Misconduct, kesi ilichukua muda mrefu kiasi mbaka napewa barua ya uamuzi kuna baadhi ya kanuni...
  4. K

    Tume ya utumishi wa umma

    Habari ya jumapili, naomba msaada kwa member yoyote ambae yupo tume ya utumishi wa umma au kama kuna mtu unamjua. Ninachangamoto, nimeonewa naomba nisaidiwe muongozo. Asante Mungu azidi kuwabariki.
Back
Top Bottom