Recent content by kambale mnene

  1. K

    JamiiForums Tanzania Shaka: CCM itashirikiana na kila mwenye nia njema Juu ya TANZANIA na Watanzania

    Hao waandishi ni ccm au ndiyo kujikomba kwenyewe?
  2. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano mkubwa kombe la dunia Qatar kuhairishwa

    Katumia ulimi wa kikorani
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mada ya wanyama

    Pembe,meno hukaa kinywani
  4. K

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

    Haya yaondoe tusiyale,lete matango halisi
  5. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sare ya Yanga na Coast Kombe la Azam na ugomvi wa Haji na Karia ulitokana na wachezaji wa Yanga kuhongwa

    Umesoma vizuri au umetoka kukatwa sunga?
  6. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sare ya Yanga na Coast Kombe la Azam na ugomvi wa Haji na Karia ulitokana na wachezaji wa Yanga kuhongwa

    Jibu,usilete majibu ya pombe
  7. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sare ya Yanga na Coast Kombe la Azam na ugomvi wa Haji na Karia ulitokana na wachezaji wa Yanga kuhongwa

    Wajuzi hebu mje kama mnajua lolote kuhusu hilo. Inasemekana kuna wachezaji watatu akiwemo Mwamnyeto walihongwa na Karia ili Yanga ifungwe katika ile mechi. Habari zilivuja na kumfikia Haji, ikawa ndiyo chanzo cha ugomvi na patashika pale jukwaani iliyopekea Haji kufungiwa. Wakongwe hili likoje?
  8. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kimenuka: Video hii ya Ally Kamwe yawaudhi wana Yanga

    Propanda za kipumbavu
  9. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba kumchukulia hatua Dejan kufuatia kuvunja mkataba bila kufuatia utaratibu maalumu

    Maisha ya dona na nguruka,maisha ya kuwasha moto uwanjani. LETE MZUNGU
  10. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba kumchukulia hatua Dejan kufuatia kuvunja mkataba bila kufuatia utaratibu maalumu

    Uwe mchezaji ulaya alafu wakuite we mwafrika njoo,itakuwa sawa wakati jina unalo?
  11. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa za kikristo ni kituko, wakristo wengi wanakimbilia sheria za mahakamani ndoa zinaposumbua hawataki kufuata sheria zao za kikristo

    KWANINI ZIMEKUWA NDOANO? KWANINI HAZIDUMU? Ukisoma maandiko ktk Biblia utaona kuwa ndoa zilifungwa katika jamii hiyohiyo. Mfano Yakobo alienda oa kwa mjombae. Angano la kale Mungu aliwaangiza waisrael wasiwatoe binti zao kuolewa na makabila nje ya Israel au vijana wao kuoa nje ya Israel...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Kuna kiongozi alidai eti tutamkumbuka, nani amkumbuke?

    Kwa taabu na mauaji tutamkumbuka daima
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kuna kiongozi alidai eti tutamkumbuka, nani amkumbuke?

    Kama alikuibia mkeo/mmeo utakosaje kumkumbuka?
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kuna kiongozi alidai eti tutamkumbuka, nani amkumbuke?

    Sukari ilikuwa1800 kabla yake,alipoingia sukari ilikuwa sh ngapi? Mafuta ya kula je! SUKUMA GANG AKILI MU KISODA.
Back
Top Bottom