Habari Wana JF na mamlaka husika
Kampuni ya mabasi ya Kiluwa kupitia basi namba T546 DXH Leo tarehe 4 May 2025 imekatisha tickets abiria ikiahidi kwenda Lushoto saa kumi na mbili jioni lakini hadi hii saa moja na nusu halijaanza safari na kusababisha vurugu kutokana na abiria kuchoka kusubiri...
Kama ni kweli umefanikiwa kwenda nje ninakushauri hicho unachopata usiache kuwekeza kwenye treasury bonds, shares za makampuni na Mutual funds kama UTT AMIS.
Nimekushauri hivyo kwa sababu kuna watu hukaa nje miaka mingi na kurudi wakiwa bado maskini sana sana wanarudi na stori kuwa ulaya au...
Wekeza kwenye bond za serikali au UTT.
Kama una kiwanja sehemu inayopangishika unaweza jenga vi apartments vidogo viwili.
Kama unataka kufanya biashara deal na vitu vinavyohesabika kwa urahisi pia ujitahidi kutumia CCTV camera na upate daily report kwa whatsapp na Mara chache ufanye stock taking
Inashangaza zaidi ata post zake nyingine za mwaka huu huu anajitambulisha kuwa ana elimu ya form four,inaelekea amesoma real estate Management ila hakuelewa au haipendi hiyo profession.
Kodi yaani tax inalipwa TRA tuu hiyo inayolipwa Halmashauri sio tax ni service levy.
Hii Service levy halmaushi wanatakuwa kulipwa si zaidi ya 0.3 asilimia ya mauzo.
Kwa upande wa tax kampuni inatakiwa kulipa asilimia 30 ya faida kama kodi kwenda TRA na kodi nyingine za zuio kama PAYE na kodi...
CPAs wasiotumia initial ya CPA ni wengi kuliko CPAs wanaotumia initial ya CPA.
CPA ni certification inayotambulisha watu wanaoruhusiwa kufunga mahesabu, kusimamia idara za uhasibu au kufanya ukaguzi wa mahesabu kisheria.
Hivyo wakitumia si jambo baya tuwatambue na kuwatumia kwa urahisi
Ugumu...
Hao ni watu waliothibitishwa kusomea kiwango cha juu kabisa cha taaluma ya uhasibu na ukaguzi wa mahesabu yaani Certified Public Account.
Kwa sheria za tanzania ni lazima uwe na CPA au related qualification kana ACCA ili kusimamia kitengo cha uhasibu au fedha au kufunga hesabu za mwaka za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.