Mkuu kaongea kamaliza hapa[emoji120]....
Tumia Maji masafi (yaliiochemshwa) kuanzia kunywa, kunawa mdomo, pia wakati wa kuoga usibugie/ au kutia maji mdomoni yalio machafu!!!!! Mimi nilishakua muhanga wa hili tatizo aisee!!!! Kinga zetu zishakuwa dhaifu juu ya kukabiliana na ugonjwa wa...
[emoji16] umegusa mzizi mkubwa saana wa ndoa tulizonazo kwasasa nanyingi zinasua sua saana!! Vijana tujichekeche saana , Ndoa zinakuwa ngumu kutokana na sababu kuu Kama hizi zilizopelekea kufunga Ndoa!!!!
#Umetoa points hizi kama ulikua kwenye brain yangu[emoji120][emoji120]
Ngoja namimi nichangie kwa mtazamo wangu [emoji116][emoji116]
Kwanza unapoamua kuingia kwenye mapenzi ingia na akili zako timamu, tena kama Ni mchumba au hajawa mke kamili ila anakupa Huduma zote ambazo mke ndie aliepaswa akupe mfano Pango la mji (Mbususu), Kukupikia, kukufulia Na Huduma...
[emoji3526][emoji3526] napenda kwanza nisijisifie , Show mbovu labda niwe naumwa ...kiuhalisia tu Show nilikua siifanyii utani Maana ndio Uanaume katika ndoa Unapoanzia ili kuleta heshima baina yenu, kwenye Show sikua mzembe pliz[emoji120]
Seriously!!! Siwezi Rudiana nae hata akitaka kuja rudi, kwanza kila nikikumbuka yale Maneno ya mwishoni mwishoni mwili huwa unanisisimka natamani hata angekua jirani nimpatie vibao vya afya inshort alinizaririsha saana aisee
[emoji16][emoji16]ile siku anaondoka alipaka hapo Maneno magumu kidogo Mpaka busara ilitaka kutoweka, na Nilikaa kwa aibu saana mtaani kwangu na kijijini kwa ujumla kwa muda saana mpaka hali ile kuja kutoweka..... Nilikoma
[emoji16] umegusa penyewe, kila siku nikikaangalia Huwa najisemea moyoni " kuwa na tabiaa za mama yako nikupe Kitu inayoweza vunja miguu na shingo yako"[emoji16] I short nitakaua haka katoto heri nikafie jela
Huyu alikua ni panzi asie nakichwa kabisaa[emoji16], maana hata angekua na kichwa angejiongeza Baadhi ya vitu Vya kusimamisha Misingi ya Ndoa na familia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.