Tamasha hili kwa mwaka huu limewavuta Watanzania wengi kutoka nje ya Zanzibar kushiriki, na siku zijazo wengi zaidi watamiminika Kizimkazi siyo tu kujionea bali kushiriki vilivyo kwenye tamasha adhimu kama hili.
Naibu Spika Zungu atumiwa kumlinda
Sheikh Ally Mmanga Imamu Msikiti wa Madina
Na Mwandishi Wetu
NAIBU Spika, Mussa Zungu, ambaye Mbunge wa Ilala ameanza kutumiwa na Imam wa Msikiti wa Madina, Sheikh Ally Mohammed Alidina, ambaye pia anajulikana kwa jina la Ally Mmanga ambaye ni msomaji...
Na Mwandishi Wetu
NAIBU Spika, Mussa Zungu, ambaye Mbunge wa Ilala ameanza kutumiwa na Imam wa Msikiti wa Madina, Sheikh Ally Mohammed Alidina, ambaye pia anajulikana kwa jina la Ally Mmanga ambaye ni msomaji maarufu wa milango maulidini ili kumeteta katika kesi ya kugushi wosia na kuuza nyumba...
Kama waliomteka MO ni wazungu kweli basi hili sakata linatupeleka kwenye mashirika ya kujasusi (c.I.a,mossad na wengineo)pengine wanahitaji ushahidi fulani au wanataka kujua pesa zake zinatumika kusaidia vikundi vya kigaidi?
kuongezeka kwa mapato na shehena zinazohudumiwa na bandari za Mamlaka ni matokeo ya kufanya maboresho katika sehemu kuu tano pamoja na kuwa na malengo mara mbili ya mafanikio yaliyokuwepo.
kila la kheri mhe.magufuli ,rais wetu mpendwa kwa kiukweli unafanya kazi nzuri na inaonekana kwa taifa.hatuna budi kumuunga mkono kwa maendeleo haya tunayo yaona .
serikali imefanya mabadiliko makubwa kwa kuanza ujenzi wa meli mpya na kufufua meli zilizokuwa zimesimama kutoa huduma kutokana na kutofanyiwa ukarabati.viva rais magufuli
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.