Naibu Spika Zungu atumiwa kumlinda Sheikh Ally Mmanga-Imamu msikiti wa Madina

kamati ya ufundi

JF-Expert Member
Sep 30, 2014
416
438
Na Mwandishi Wetu

NAIBU Spika, Mussa Zungu, ambaye Mbunge wa Ilala ameanza kutumiwa na Imam wa Msikiti wa Madina, Sheikh Ally Mohammed Alidina, ambaye pia anajulikana kwa jina la Ally Mmanga ambaye ni msomaji maarufu wa milango maulidini ili kumeteta katika kesi ya kugushi wosia na kuuza nyumba ya wakfu.

Imamu huyo pamoja na baadhi ya ndugu zake, akiwemo Amini Alidina wanatuhumiwa kuuza nyumba ya baba yao Sheikh Mohammed Alidina , ambaye alikuwa Sheikh maarufu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA).

Taarifa za kuaminika ilizozipata zinaeleza Sheikh Ali Mmanga amekuwa akiitumia ofisi ya Naibu Spika huyo kukwepa mkono wa sheria, baada ya wao kuuza nyumba yao yenye msikiti na madrasa kwa mfanyabiashara Michael Singano alioko Kariakoo, Dar es Salaam.

Nyumba hiyo yenye ghorofa sita, inadaiwa kuuzwa kwa zaidi ya bilioni 8, ambapo mfanyabiashara huyo kwa kushirikiana na Sheikh Ally Mmanga kuchukua zaidi ya bilioni 4 kama malimo ya awali.

Fedha hizo zimetolewa na kugawanya kwa watu mbalimbali, akiwemo mmoja wa watu wanaotajwa kushiriki katika mauzo hayo anaitwa Mswaki, ambaye ndio mtafuta mteja.

Hata hivyo, baada ya Jeshi la Polisi kuingilia kati na kumuhoji Sheikh Ali Mmanga pamoja na mdogo wake Amini na kuwatoa kwa dhamana, watu hao wameanza kumtumia Naibu Spika kuzima sakata hilo.

Taarifa zilizoaminika zinaeleza kuwa Sheikh Ali Mmanga baada ya kuhojiwa na kutoka kwa dhamana amekuwa akimtaka Zungu aingilie kati suala hilo ili kumuokoa kutokana na Polisi kusmama kidete.

“Amekuwa akija ofisini hapa Ilala mara kwa mara na muda mwingine akimpigia simu akitaka amsaidie ili kukwepa mkono wa sheria. Jambo ambalo sio haki na anapaswa kucha akiwa kamą kiongozi,’’ alisema mtoa taarifa wetu.

Alisema Rais Samia Suluhu Hassan amekuwa kiongozi anayejali wanyonge, viongozi wanaowasaidia matapeli wanapaswa kuelezwa kuacha na vyombo vya dola vichukue hatua.

‘’Huyu Sheikh anatumia vibaya Msikiti na waumini wa Msikiti wa Madina watambue wana sheikh asiyefuata maadili ya dini, amekuwa tapeli na mtu anayetumia kofia ya dini kujificha’’alisema.

Alisema hata vitabu vya dini ikiwemo Quraan inaeleza juu ya umuhimu wa wasia, lakini cha ajabu anauza nyumba hiyo ambayo marehemu baba yake alisema nyumba isiuzwe kwa kuwa kuna Msikiti na Madrasa.

Sheikh Mohammed Alidina aliandika wosia toka mwaka 2007 ikiwemo kugawa maduka kwa watoto wote, kuweka msikiti unaotumiwa kwa wafanyabiashara na madrasa ya watoto na kuala nyumba hiyo isiuzwe.

Hivyo, katika wosia huo, alisema nyumba hiyo haipaswi kuuzwa kwa mtu yeyote, ambapo Sheikh Ally Mmanga bila hofu na akiwa Imam wa Msikiti wa Madina ameshiriki katika kuuza nyumba hiyo pamoja na ndugu zake wengine ambao amekuwa akiwatisha mara kwa mara.View attachment 2458737
IMG-20221226-WA0006.jpg
 
Naibu Spika Zungu atumiwa kumlinda
Sheikh Ally Mmanga Imamu Msikiti wa Madina

Na Mwandishi Wetu

NAIBU Spika, Mussa Zungu, ambaye Mbunge wa Ilala ameanza kutumiwa na Imam wa Msikiti wa Madina, Sheikh Ally Mohammed Alidina, ambaye pia anajulikana kwa jina la Ally Mmanga ambaye ni msomaji maarufu wa milango maulidini ili kumeteta katika kesi ya kugushi wosia na kuuza nyumba ya wakfu.

Imamu huyo pamoja na baadhi ya ndugu zake, akiwemo Amini Alidina wanatuhumiwa kuuza nyumba ya baba yao Sheikh Mohammed Alidina , ambaye alikuwa Sheikh maarufu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA).
IMG-20221226-WA0005.jpg
 
Zungu kama anajitumbukiza kwenye zurma ni hatari sana....tulitegemea kama kiongozi wa kiserikali angesimamia haki ili amani iwepe katika msikiti huo kuliko kuwakumbatia na kuwalinda viongozi wa msikiti.
 
Naibu Spika Zungu atumiwa kumlinda
Sheikh Ally Mmanga Imamu Msikiti wa Madina

Na Mwandishi Wetu

NAIBU Spika, Mussa Zungu, ambaye Mbunge wa Ilala ameanza kutumiwa na Imam wa Msikiti wa Madina, Sheikh Ally Mohammed Alidina, ambaye pia anajulikana kwa jina la Ally Mmanga ambaye ni msomaji maarufu wa milango maulidini ili kumeteta katika kesi ya kugushi wosia na kuuza nyumba ya wakfu.

Imamu huyo pamoja na baadhi ya ndugu zake, akiwemo Amini Alidina wanatuhumiwa kuuza nyumba ya baba yao Sheikh Mohammed Alidina , ambaye alikuwa Sheikh maarufu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA).View attachment 2458749
Kulindana ndio SERA ya CCM ATAWALINDA TU BIL.8 sio MCHEZO
8,000,000,000/=
 
Mimi naomba niweke tu ushiriki wangu hapa. Ila sitachangia chochote kuhusu huo mgogoro. Maana sina maslahi nao.
 
Na Mwandishi Wetu

NAIBU Spika, Mussa Zungu, ambaye Mbunge wa Ilala ameanza kutumiwa na Imam wa Msikiti wa Madina, Sheikh Ally Mohammed Alidina, ambaye pia anajulikana kwa jina la Ally Mmanga ambaye ni msomaji maarufu wa milango maulidini ili kumeteta katika kesi ya kugushi wosia na kuuza nyumba ya wakfu.

Imamu huyo pamoja na baadhi ya ndugu zake, akiwemo Amini Alidina wanatuhumiwa kuuza nyumba ya baba yao Sheikh Mohammed Alidina , ambaye alikuwa Sheikh maarufu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA).

Taarifa za kuaminika ilizozipata zinaeleza Sheikh Ali Mmanga amekuwa akiitumia ofisi ya Naibu Spika huyo kukwepa mkono wa sheria, baada ya wao kuuza nyumba yao yenye msikiti na madrasa kwa mfanyabiashara Michael Singano alioko Kariakoo, Dar es Salaam.

Nyumba hiyo yenye ghorofa sita, inadaiwa kuuzwa kwa zaidi ya bilioni 8, ambapo mfanyabiashara huyo kwa kushirikiana na Sheikh Ally Mmanga kuchukua zaidi ya bilioni 4 kama malimo ya awali.

Fedha hizo zimetolewa na kugawanya kwa watu mbalimbali, akiwemo mmoja wa watu wanaotajwa kushiriki katika mauzo hayo anaitwa Mswaki, ambaye ndio mtafuta mteja.

Hata hivyo, baada ya Jeshi la Polisi kuingilia kati na kumuhoji Sheikh Ali Mmanga pamoja na mdogo wake Amini na kuwatoa kwa dhamana, watu hao wameanza kumtumia Naibu Spika kuzima sakata hilo.

Taarifa zilizoaminika zinaeleza kuwa Sheikh Ali Mmanga baada ya kuhojiwa na kutoka kwa dhamana amekuwa akimtaka Zungu aingilie kati suala hilo ili kumuokoa kutokana na Polisi kusmama kidete.

“Amekuwa akija ofisini hapa Ilala mara kwa mara na muda mwingine akimpigia simu akitaka amsaidie ili kukwepa mkono wa sheria. Jambo ambalo sio haki na anapaswa kucha akiwa kamą kiongozi,’’ alisema mtoa taarifa wetu.

Alisema Rais Samia Suluhu Hassan amekuwa kiongozi anayejali wanyonge, viongozi wanaowasaidia matapeli wanapaswa kuelezwa kuacha na vyombo vya dola vichukue hatua.

‘’Huyu Sheikh anatumia vibaya Msikiti na waumini wa Msikiti wa Madina watambue wana sheikh asiyefuata maadili ya dini, amekuwa tapeli na mtu anayetumia kofia ya dini kujificha’’alisema.

Alisema hata vitabu vya dini ikiwemo Quraan inaeleza juu ya umuhimu wa wasia, lakini cha ajabu anauza nyumba hiyo ambayo marehemu baba yake alisema nyumba isiuzwe kwa kuwa kuna Msikiti na Madrasa.

Sheikh Mohammed Alidina aliandika wosia toka mwaka 2007 ikiwemo kugawa maduka kwa watoto wote, kuweka msikiti unaotumiwa kwa wafanyabiashara na madrasa ya watoto na kuala nyumba hiyo isiuzwe.

Hivyo, katika wosia huo, alisema nyumba hiyo haipaswi kuuzwa kwa mtu yeyote, ambapo Sheikh Ally Mmanga bila hofu na akiwa Imam wa Msikiti wa Madina ameshiriki katika kuuza nyumba hiyo pamoja na ndugu zake wengine ambao amekuwa akiwatisha mara kwa mara.View attachment 2458737View attachment 2458739
Kwanza kwani hiyo nyumba waliouza ni ya baba yako au mama yako?
 
Ila tuache utani huo muamala ni mrefu,muacheni Sheikh aingie motoni
 
Huna juma maana wa wosia au kitu kutolewa wakfu kwa dini ya kiislamu au unajiongelea tu.
Dini ya kiislamu ni imani kama zilivyo imani zingine kama budha n.k
Kama dini yako nzuri kuliko dini zingine kwanini mnaishi kwenye shida na umasikini?
Hakuna nchi yoyote ya Kiarabu inayoizidi China kwa teknolojia.
Hapo umeumia kwasabb msikiti na madrasa vimeuzwa. Wameuza mali ya baba yao. Hakuna kosa hapo. Nashukuru hatuna mahakama za kidini Tanzania ndiyo maana inawafanya watu waishi kwa huru na amani.
Ardhi yenye makaburi inauzwa sembuse na hayo majumba ya kuabudia halafu watu wake bado ni masikini?
 
Huna juma maana wa wosia au kitu kutolewa wakfu kwa dini ya kiislamu au unajiongelea tu.
hata izo mali za waqfu zilizopo sasa zinafujwa na wajanja wachache wanakula kodi maisha yao yanakwenda.
Mwanza kuna vita kubwa kule tuliona kwenye tv viongozi wa kiislam wanachapana makonde kugombea mali za waqfu Magorofa yanayowapa utajiri viongozi hao wachache.
hata wewe nahisi ni mnufaika wa kula kodi ya ghorofa alaliocha babake Imam.
 
Back
Top Bottom