Recent content by kamasultra

  1. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tuamkeni wanandoa, ndoa fupi za majira/practical training za ndoa muda huu mwamshe mwenzio kuna jambo muhimu

    Wanaolala single utawajua tu vichwa vinasimama kama jogoo
  2. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri : Display ya samsung A7-2015

    Inategemea na budget yako ikoje ila simu iko poa sana . kama vyuma havijakaza sana chukua a7 2017 iko vizuri zaidi
  3. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri : Display ya samsung A7-2015

    Nashukuru boss
  4. K

    JamiiForums Tanzania Abdul Nondo afunguka kwa mara ya kwanza tokea atoke polisi

    Atakua kapewa dau au vitisho au vyote kwa pamoja plus maongezi na wazazi wake
  5. K

    JamiiForums Tanzania Abdul Nondo afunguka kwa mara ya kwanza tokea atoke polisi

    Sio kwa watanzania nchi inayoendeshwa kwa matukio . huwezi amini hataongea chochote atakwambia swala liko mahakamani na mahakamani kalenda kibao kesi itaisha baada ya miezi mitatu dogo atafutiwa mashtaka kimya kimya kipindi hicho tushasahau tuko na tukio lingine
  6. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri : Display ya samsung A7-2015

    Wasalaam , kuna hii simu yangu tajwa hapo juu ilianguka na kufa display nimekiweka tu ndani kwa mda sasa. Nataka kuifufua nimejaribu kupita kkoo bei nimetajiwa 280k mpaka 300k hapo ikijumuisha na ufundi. kwa maoni yangu nimeona ni risk kuitengeneza kwa gharama hio na isirudi kama awali. naomba...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Wahandisi wajenge majengo kwa kusimamisha matofali ili matofali machache yajenge majengo mengi

    Kwanini hatuitumii in large scale mkuu . tukifananisha na bricks ipi ni cheap? Naomba ufafanuz kidogo mkuu
  8. K

    JamiiForums Tanzania Askofu Pengo: Sikufahamu kuhusu waraka wa Kwaresma wa Baraza la Maaskofu Katoliki. Awaasa wasichanganye dini na siasa

    Ametumia haki yake kidemokrasia kutoa maoni yake nawashangaa wanaopigania demokrasia wakiuponda uamuzi wake
  9. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Wahandisi wajenge majengo kwa kusimamisha matofali ili matofali machache yajenge majengo mengi

    Ingekua vyema kama tungefikiria ujenzi mwingine nje ya tofali na wagharama nafuu ili kuleta tija na teknolojia mpya .
  10. K

    JamiiForums Tanzania Video: Wema Sepetu akicheza wimbo wa WOWOWO live ndani ya swimming pool

    [emoji3] [emoji3] huyo na the likes . halafu wataanza kuponda sijui wanataka akiogelea avae baibui
  11. K

    JamiiForums Tanzania Video: Wema Sepetu akicheza wimbo wa WOWOWO live ndani ya swimming pool

    Ringeni tu jamani hayo makitu yana raha yake
  12. K

    JamiiForums Tanzania Video: Wema Sepetu akicheza wimbo wa WOWOWO live ndani ya swimming pool

    Wale madem vimbao mbao Leo hawana amani
  13. K

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Mashudu tani 30

    Mashudu ya zao gani ? Je unayafuata au unataka uletewe huko arusha
  14. K

    JamiiForums Tanzania Waraka wa Maaskofu KKKT: Tunasikitishwa na matukio ya kupotezwa watu, kubanwa kwa Uhuru wa Mahakama, Bunge na Tume ya Uchaguzi...

    Waraka mchungu sana kwa upande wa pili . black and white . naumuona askofu msomi daktari Mshaharakesho
  15. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke apotea katika mazingira ya kutatanisha

    Alitekwa huyo ila watekaji walimtupa kwenye pori karibu na nyumbani kwao . naturally lazima break ya kwanza iwe kwao
Back
Top Bottom