Wakuu nawasalimia kwa upendo nyote.
Naomba Central Bank of Tanzania wajaribu kuitupia jicho LA karibu ACB make imekuwa kero sana kwa wateja kwani Mara kwa Mara unaambiwa hakuna mtandao, Mara hatuna printer, ukienda ATM Zao hapo ndo balaa. Mara Hamna pesa, Mara mtandao, Mara receipt Hanna...
Mkuu Tiger One nilikuheshimu sana hasa kwa michango na uchambuzi wako wa kisisa kwenye jukwa hili ila kumbe nawewe mwizi!
Du! Hii kali.
Kama kweli umeacha wizi basi taja wezi wote uloshirikiana nao ili nao waone haya waachane na wizi.
TANESCO ni shida sana.
Hawatambui kwamba umeme ni msingi wa kazi zote za kila siku kwa mtanzania.
Naona kutakuwa na mgao sema tu hawataki kuweka wazi make walishahapa kwamba hakutokuja kuwa na mgao wa umeme tena.
Nchi hii inahitaji wachambuzi makini, wenye weledi wa hali ya juu kama wewe na Mzee Mwanakijiji.
Umechambua ukweli haswa make hata mie kwetu huku Maswa na kanda ya ziwa yote ni chadema iko midomoni mwa watu.
Misikitini, makanisani, vyuoni, mashuleni na mahospitalini ni chadema tu na kuilaani...
Dakika tatu zilizopita majambazi wamepola hapa BUguruni sheli kwenye bakery ya kuuza mikate na vitafunwa.
Wamekuja bila woga na pikipiki lao la Boksa na kuchukua mkwanja tena bila woga na kufyatua risasi juu.
Mie niko bar ya jirani hapa junction ilibidi kidogo wateja wa junction tujifiche kwa...
Nidhani utsema simba "tumfukuze" Rage lakini kumbe ni simba "mfukuzeni" Rage; umepata lini hajira ya mshauri mwandamizi wa simba?
Kaa kimya kwani adui mwobee njaa mkuu!!
Siku nyingine tembelea jukwaa la michezo hapa siasa mkuu.
Warudi makwao wakafanye kazi sio kuendelea kuzurula tu huku wakisaga pesa za walipa kodi bure kwa kundeleza siasa mfilisi.
Kwakweli siwapi pole kwani hii ni ajari ya kutafuta wenyewe kwa uzurulaji wao.
Kweli kwa Zero napajua na ni kama umeweka ukweli kwani hapa biashara huwa ni usiku tu napitaga naona watu wengi inawezekana kweli hizo biashara ndo mahala pake make vijanavijana na mabinti poa hubarizi sana pale. Kazi kweli kweli.
Mkuu mleta hii mada kumbuka huu muarobaini wako unaotaka kuwanywesha magamba zako ni sawa na Dr anamwambia mgonjwa wa kansa kwamba ili apone lazima akatwe miguu, mikono na atolewe macho; atakubali?
Ccm hawawezi kubali ushauri wako kwani nani awe wa kwanza kukubali mabadiriko na apoteze nafasi...
Naungana na wote katika kusikitika. Kumbuka sie tulimpenda ila Mungu kampenda zaidi.
Katika kumuenzi mzee huyu, basi kila mtu aahidi kufanya kila liwezekalo kuhakikisha tunalikomboa taifa toka mikononi mwa hawa wakoloni weusi mafisadi, a.k.a magamba.
Mpaka kieleweke makamanda!!!!
TM ( Tumain Makene) hebu tuweke wazi ktk jambo hili kwani magamba wametuundia vifo bandia mala nyingi kutuchanganya.
Kama ni kweli basi RIP kamanda na juhudi zako tuliziona wakati wa retreat ya karagwe mwishoni mwa mwaka jana.
Nakubaliana na mtoa hoja kwani kwenda kazini au darasani na rozari, tasbir, kofia au msalaba inaongeza nini ktk uwezo wako wa kazi au darasani?
Huoni kwamba tunavaa vitu hivyo ili kujipambanua imani yako? Inasaidia nini kuonyesha imani yako pasipo kuulizwa?
Nashauri itungwe sheria au katika...
Bravoooo!!!!
Nakupongeza kwa nukuu nzuri ya baba wa taifa na kuileta wakati muafaka.
Tatizo wenzetu wamesha kata fuse zote hakuna kinacho ingia wala kutoka kichwani, akili yao yote iko kusaka urais kusudi watengeneze mitandao yao ya kifisadi kama dhaifu anavyofanya. Cdm kaza kamba ukombozi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.