Recent content by Kamanda Asiyechoka

  1. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Maandamano makubwa kufanyika Oktoba 29 kuwakumbuka waliouwawa mwaka jana

    Kuna tetesi kuwa kutakuwa na maandamano makubwa sana hapa nchini ambayo yatakuwa mahususi kwa ajili ya kuwakumbuka wananchi na raia wema waliouwawa Oktobab 29 mwaka 2025. Japokuwa rais Samia alishasikika akiwa huko Zanzibar kuwa bunduki na risasi zilishawaogopesha wananchi kuandamana lakini...
  2. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Tukio kama hili la kumpiga Kocha wa Gaborone Utd lingekuwa limefanywa na MwanaCHADEMA polisi wangekuwa wameshamkamata.

    Polisi wa Tanzania wapo very biased. Hawafanyi kazi kwa weledi. Wanafanya kazi kwa mihemuko na ushabiki Mtu anampiga mtu ambae ni kocha na alipaswa kupewa heshima na ulinzi.Anarekodiwa mbele ya kamera na anafamika lakini mpaka sasa hajakamatwa. Police wapo kwa ajili ya kukamata wanachama na...
  3. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Kujiuzulu kwa Dk Nchimbi sio justification kuwa katiba ya sasa inafaa. Haifai na tunatakiwa tupambane tupate katiba mpya

    Nimesikia mahala Mwenyekiti wa CCM akijinasibu kuwa Katiba hii ya CCM yq mwaka 1977 inafaa kisa tu wameweza kumfukuza Nchimbi uanachama na kuweka makamu mwingine. Huu ni uongo na uzandiki. Hii Katiba haifai hata kidogo . Ni katiba ambayo haikutungwa na wananchi bali ilitungwa na wanaCCM...
  4. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Nimemwelewa sana Mbowe, usipoteze imani na Rais Samia. Alivyo kwa Kauli na Matendo hawezi kuwa ni yeye!

    Whatever the case Mbowe ni jangili wa kisiasa.
  5. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Nimemwelewa sana Mbowe, usipoteze imani na Rais Samia. Alivyo kwa Kauli na Matendo hawezi kuwa ni yeye!

    We mzee tunakuheshimu humu. Habari ya kuniita mimi mjinga acha.
  6. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Kwa sababu hawataki katiba mpya, maandamano makubwa yaitishwa mpaka taifa letu lipate katiba mpya.

    Bila maamdano haki haipatikani. Maandamano yaitishwe nchi nzima mpaka waseme po. Katiba mpya ndio suluhu ya ufisadi na na wanasiasa wezi kama CCM mtandao. Bila maandamano hatupati katiba mpya.
  7. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Nimemwelewa sana Mbowe, usipoteze imani na Rais Samia. Alivyo kwa Kauli na Matendo hawezi kuwa ni yeye!

    Toa upumbavu wako. Mbowe ni tapeli la kisiasa.
  8. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Sijaridhishwa na kitendo cha Freeman Mbowe kujumuika pamoja na Wanaotuua

    Unalipigia simu ya nini?
  9. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Kama kada wa CCM anatekwa na kuumizwa alafu Rais na mwenyekiti wa CCM yupo kimya, utekaji na mauaji havitaisha

    Watu wengi tulitarajia atoe hotuba kali sana kupinga haya masuala ya utekaji na mauji. Lakini hata alipo uliwa Mzee Ali Kibao, rais alitamka kifo ni kifo tu👇
  10. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Mbowe afukuzwe uanachama CHADEMA. Afulumushwe aende akaungane na vibaraka wenzake Chaumma.

    Mpango mzima wa kuinunua Chaumma chama cha wala ubwabwa uliratibiwa na Mbowe. Kisa tu Mbowe ni kibaraka wa CCM na alisoma nyakati akaona Heche na Lissu hawataki kuwa vibaraka wa CCM. Kwa mantiki hii hafai kuwa mwanachama wa CHADEMA afukuzwe akaungane na mtoto wake na vibarKa wengine wa CCM.
Back
Top Bottom