Recent content by Kaman

  1. K

    JamiiForums Tanzania Madereva wa Bolt tuunde umoja wetu nasi tusikilizwe

    Wala sijalazimishwa ila unazani kwanini Serikali huwa inapeleka maafisa wakaguzi kwenye mashirika?!! Ni kwasababu ya kuzingatia haki ya mfanya kazi haijalishi kuwa mfanya kazi mwenyewe aliitaka ile kazi mwenyewe au laa. Na ndio mana kuna Human resource management(HR) Huyu moja ya kazi zake ni...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Madereva wa Bolt tuunde umoja wetu nasi tusikilizwe

    T Thanks bro
  3. K

    JamiiForums Tanzania Madereva wa Bolt tuunde umoja wetu nasi tusikilizwe

    Hata wakenya hawakilazimishwa kukaa Kenya but kwasababu wanaona wananyonywa licha wapo kwa iyari yao wakaamua kuandamana
  4. K

    JamiiForums Tanzania Madereva wa Bolt tuunde umoja wetu nasi tusikilizwe

    Ulishawahi kusikia mtu anaibiwa pikipiki mchana bro
  5. K

    JamiiForums Tanzania Madereva wa Bolt tuunde umoja wetu nasi tusikilizwe

    Hahahah
  6. K

    JamiiForums Tanzania Madereva wa Bolt tuunde umoja wetu nasi tusikilizwe

    Umoja huu lengo ni kutokuminywa na bolt pale tunapoona tunamwinywa hivyo hata kupandisha viwango vya hela ni sehemu moja wapo ya kulilia hiyo haki kwenye group hili
  7. K

    JamiiForums Tanzania Madereva wa Bolt tuunde umoja wetu nasi tusikilizwe

    Naomba uzieleze hapa boss tupate manufaa kwa sote hizo App zenye makato madogo
  8. K

    JamiiForums Tanzania Madereva wa Bolt tuunde umoja wetu nasi tusikilizwe

    Madereva wa Bolt wote hapa Tanzania kuna haja ya kuunda umoja wetu ili nasi kwa pamoja tusikilizwe changamoto zetu maana changamoto tunazopitia ni nyingi ila tunashindwa kupewa kipaumbele kwasababu hakuna anaepaza sauti kuhusu hizo changamoto. Changamoto hizo ni kama: (1)Kiukweli Bolt inampa...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Sahau kuhusu Utajiri kama unafuatisha mifumo

    Nakubali Kwa 99%
  10. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa watanzania waishio Afrika Kusini

    Kaka mimi ni Machine Operator kwenye vyombo vya Bandarini ila nataka kueenda kutafuta life South Africa naweza kupata Idear kuhusu kufika huko juu bro
  11. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa watanzania waishio Afrika Kusini

    Ok hivyo haina ukomo wa kuisha ama?
  12. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa watanzania waishio Afrika Kusini

    Ivi unaweza kwenda SA bila y vis?
  13. K

    JamiiForums Tanzania Lazaro Nyalandu akamatwa na kushikiliwa na TAKUKURU mkoani Singida

    Acha Unduku wewee kijana wakati Police yenyewe imekiri kwamba wamewakamata hawa watu
  14. K

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Spika Ndugai amsimamisha Stephen Masele uwakilishi wa Bunge la Afrika. Bunge limeteua mkaguzi kumkagua CAG

    Kampuni ni utendaje sasa kama ina utendaje mbovu hilo tayari limeshakuwa tatizo
  15. K

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Spika Ndugai amsimamisha Stephen Masele uwakilishi wa Bunge la Afrika. Bunge limeteua mkaguzi kumkagua CAG

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Back
Top Bottom