Recent content by kamala 23

  1. K

    Msaada: Dawa ya Degedege

    Chief upo sahii , maana ata homa ikiwa kari kwa watoto inasababisha iyo degedege
  2. K

    Kuwashwa baada ya kuoga

    Tumia mafuta aya baada ya kuoga, yanaondoa muwasho. Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
  3. K

    Nasumbuliwa na tatizo la kiungulia

    Ushauri uo apo Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
  4. K

    Kama Mungu ameweza kukupa neema ya kuishinda dhambi basi mshukuru sana

    Pia nakushauri usikilize mahubili ya mch DAVID MMBAGA kupitia YouTube . Yatakubadilisha bro. Kaangarie YouTube MAHUBILI CHANNEL. Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
  5. K

    Naomba ufafanuzi kuhusu chembe ya moyo

    Nyanya, husitumie, maziwa ni ya aina yote ndugu, najua utakuwa umeshauliwa na watu wengi kwamba maziwa yanasaidia kupunguza maumivu ni uongo yanasaidia kwa mda mfupi tu lakini yanaongeza uzalishaji wa acid. Unaweza kutumia mayai, karanga na vyakula ambavo havina amira Sent from my Infinix X650...
  6. K

    Naomba ufafanuzi kuhusu chembe ya moyo

    Sioni haja ya kipimo iko kwako, kipimo iko kinaenda kuangalia ukubwa wa vidonda , mala nyingi kinafanyika kwa watu wenye dalili za hatari kama kutapika damu ama kutoa choo iliyochanganyika na damu, pia labda wakiwa wanafilia kwamba una uvime, lakini vidonda vya tumbo vya kawaida hakuna haja ya...
  7. K

    Kama Mungu ameweza kukupa neema ya kuishinda dhambi basi mshukuru sana

    Namimi kuna dhambi nilikuwa nazifanya mpaka nikaona zimekuwa part ya maisha yangu , nkaona izi siwezi ziacha, lakini siku moja , Roho Mtakatifu alinibadilisha nikawa mpya kabisa, nkaona amani moyoni. Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
  8. K

    Naomba ufafanuzi kuhusu chembe ya moyo

    Mechanism of actio, ni kama nilizomuandikia apo juu, lakini hakunashida , ata akipata hii, atumie tu Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
  9. K

    Naomba ufafanuzi kuhusu chembe ya moyo

    Naona ulianzishiwa dawa za kutibu bacteria h pylori, japo haikukutwa [emoji23], walikupa ivoivo. Ila anyways fanya kitu kimoja tumia dawa hizi ambazo zinasaidia kupunguza acid tumboni. Omeprazole 20mg bd 14/7, au pantoprazole 40mg od 14/7, sio lazima uzimeze kila siku unaweza kumeza pale...
  10. K

    Kama Mungu ameweza kukupa neema ya kuishinda dhambi basi mshukuru sana

    Mpendwa kwanza nikutoe hofu ,hakuna mtakatifu hapa duniani. Kuringana na biblia sote tunaokolewa kwa neema ya Yesu Kristo, kigezo cha kwanza kwenda mbinguni ni kumpokea Yesu Kristo kuwa Bwana na mwokozi wako Warumi 3:22 ni haki ya Mungu iliyo kwa njia ya imani katika Yesu Kristo kwa wote...
  11. K

    Naomba ufafanuzi kuhusu chembe ya moyo

    Umepima choo kama una bacteria (h pylori )?? Unatumia vyakula gani kwa wingi maana vyakula vinavoleta tatizo ilo ni maharage, dagaa, pilipili, machungwa , nanasi, vipolo ambavo havijachemshwa . Umetumia dawa ipi na kwa mda gani??, na je ilikusaidia ama hukupata nafuu kabisa?? Harafu maumivu ya...
  12. K

    Watu 300-350 wanafika hospitali kila siku kwa matatizo ya Moyo, soma jinsi Pombe, Sigara na Mafuta zinavyochangia

    Ninaomba kuuliza kuhusu mafuta ya alizeti .research nyingi sikuizi zinaonesha kuwa mafuta ya alizeti sio mazuri kabisa Kwasababu ratio ya omega 6 (ambayo ni proinframattory) na omega 3(ambayo ni antiinflammatory ) ni kubwa sana, na inajulikana kamba inflammation ndo inaletea zaidi kugandiana kwa...
  13. K

    Naomba ufafanuzi kuhusu chembe ya moyo

    Mara nyingi hii ni dalili ya vidonda vya tumbo. maumivu yanaenda mpaka mgongoni Dalili nyingine ni kama -tumbo kujaa gesi. -kupata kiungulia. -kupata choo cheusi kabisa kama rami. -
  14. K

    Msaada: Napata maumivu mkono wa kushoto shingo na mgongo

    Na mara nyingi hii inasaidika kwa kutumia steroids.(Oral glucocorticoids).kwa ushauri wa dactari jinsi ya kuzitumia
  15. K

    Msaada: Napata maumivu mkono wa kushoto shingo na mgongo

    Cervical radiculopathy ni hali ya kiafya inayosababishwa na uzito, uvimbe au kuumia kwa neva za mgongo katika eneo la uti wa mgongo wa shingo (cervical spine), ambazo hufuatia hadi kwenye mikono. Dalili za cervical radiculopathy ni pamoja na maumivu ya shingo, kukakamaa na maumivu ya mkono...
Back
Top Bottom