Kuwashwa baada ya kuoga

Kuwashwa baada ya kuoga

Mimi pia ilishawahi kunitokea hio hali zaidi mara mbili , nilikuwa napata muwasho sometime kama kuchoma choma .

Sijawah kutumia dawa mara zote hizo ilikuwa inapotea yenyewe ,na sijawah kujuaga shida nini hadi leo.
 
Mimi pia ilishawahi kunitokea hio hali zaidi mara mbili , nilikuwa napata muwasho sometime kama kuchoma choma .

Sijawah kutumia dawa mara zote hizo ilikuwa inapotea yenyewe ,na sijawah kujuaga shida nini hadi leo.
Inakera sana.....
 
Hili limewahi kunitokea, lilinitesa sana kwa miaka mingi, nilepona kwa kuanza kuoga maji ya moto, kuepuka pombe, kuacha kula pilipili. Kama unatatizo la vidonda vya tumbo tafuta dawa yake pia, la mwisho na muhimu epuka vyakula vyenye Acid pendelea sana vyakula vyenye asili ya alkaline kama mboga za majani, tangawizi, limao nk
 
Kuna wengine inasababishwa na kuto oga Mara kwa Mara hasa kwa maeneo yenye baridi Kali ( ilisha wahi nikuta Hali hii)

Hali hii imepotea baada ya kuhamia mazingira yenyejoto.

Japo Kuna mtu alinambia kila akioga alikuwa anajimwagia maji aliyo yeyusha chumvi ya mawe ( Kama umesoma zile threads za Mshana Jr za spiritual cleansing) alikuwa anafanya kwa lengo Hilo lakini akakuta Hali hiyo ya kuwashwa nayo imepotea ikitokea Ni kipindi Cha baridi Sana.

Wengine wanashauri ufanye mazoezi kwanza kabla ya kuoga utokwe na jasho nenda kaoge maji ya vugu vugu. Hali hiyo inapotea.

Unaweza kutumia moja ya hizo Njia uone Kama zinaweza kukusaidia. Zingatia pia usafi wa bafu lako na vifaa vya usafi kwa ujumla hasa taulo.
 
Ni kama mimi tu kama kipindi hiki nikioga tu nawashwa kila mahari nikadhani ni mimi peke angu
 
Habari wakuu

Nikama miezi miwili hivi nawashwa sana
nikimaliza kuoga.

Naweza kaa nusu saa nzima najikuna hii inaweza kuwa inasababishwa na nini?

Natiba yake ni nini?
Tumia mafuta aya baada ya kuoga, yanaondoa muwasho.
images%20(15).jpg


Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Hili tatizo hata mimi ninalo niliambiwa ni blood infection mar minyoo kwani nikiwashwa naacha michirizi ya uvimbe nikameza dawa lakini wapi ila nikioga maji ya moto linatulia kabisa.
 
Msim wa baridi huu, fanya mazoezi ndo uoge au oga maji ya Moto.
 
Back
Top Bottom