Mjengwa nimekuelewa sana.Nchi nyingi Afrika zenye mali asili kubwa huwa zinakuwa na vita mfano Kongo wao wana dhahabu,shaba,almasi,uranium etc, Angola Mafuta, sudan mafuta, Libya mafuta.Mabwana wakubwa wa dunia kama Marekani na nchi zingine za ulaya ndiyo wachochezi wakubwa wa mifarakano Afrika...